Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Hakuna mjanja wa town anayenunua nguo vunja bei

Nguo zao wanatoa k.koo,

Kiufupi nguo nyingi kinondoni siku hizi ni za kawaida sana.

Ukitaka nguo nzuri nenda Splash au Max,

Mi huwa nafanya shopping ya nguo mara mbili kwa mwaka. Naweka bajeti yake kabisaa
sio kweli vunjabei anaenda china mwenyewe
 
Tutajuaje kama kwel ww unajua kuvaa!!!! Kama ww ndiyo huyo kwenye hiyo plofile uliyoweka ww nae uko nyuma tu kama hao unaowaharibia ukulaji wao,halafu huko ni kuharibia biashara kwa makusud kabisa ndugu, kwann usingeanzisha Uzi kwa kuwaomba kuwashauri walete nguo nzur nzur siyo kuiponda biashara yao yaan hapa jf kwa huu Uzi wako nan sasa ataenda kununu Nguo hapo!!? Yaan ww jamaa sijui una bifu nao dah!!!
hahahah aisee
 
Nashkuru ila chukua jpo dk 1 tu pitia pitia post zako utaona nilichokiandika km ni kweli ama uongo mwanaume gani muda wote kupondaponda watu tu na biashara za watu? juzi cjui jana ulikuja kumponda maua sama ukaja kumponda bayser eti kisa hajawafollow mabwana zko wcb saa hz unakuja na vunja bei hao ni wafanya biashara maua sama anauza sauti yke km ilivyo kwa blue vunja bei wanauza nguo kwann uharibu biashara za watu? Km huna cha kupost soma tu za wenzio km mm kwa hili sitakuacha nikiona tu post yko nikijiskia kureply nakuchana ukweli potelea mbali nisipojiskia nakausha maana sometimes huwa nasoma post zko naishia kusonya tu kwa hasira!
angekuwa karib yak0 ungemtia vibao et mkuu hahahahah
 
Ushawahi kumuona Kanye west au jay z. Huwa hawawazi kuhusu pamba
Kuhusu Sam Misago kwa kweli jamaa bana anajitahidi aendane na wakati lakini nguo zake huwa hazimpendezi kwa kweli,sijui body yake haisapoti pamba au mpangilio mbovu? hata Millard Ayo naye kwenye mavazi 0%,sio vizuri kumsema mtu but hawa ni public figure/celebrities wanatakiwa kuwa nadhifu muda wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme tu ukweli hawa jamaa wa Vunja bei nguo zao mbaya na kwa mtu ambaye anajua kupigilia pamba hawezi kununua nguo pale maana kumejaa midosho tu hakuna pamba za maana.

Vunja bei ni kwa wale washamba wa bushi ndio watalipapalikia hilo duka ,kwa sisi tunaojua kuvaa hatununui nguo hapo.


Na hata watu maarufu wanaonunua nguo hapo Vunja bei ni wale wale wasio jua kuvaa kama vile Sam Misago ingawa na yeye pia huwa anapewa bure ili awatangazie biashara.
Be silent,
If your words
convey the wrong
Impression!!
FB_IMG_1554568661240.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom