Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana