Mifumo ya inchi hii kigumu mkuu, kuna wakati mtu anapiginia haki la taifa, lakin mwisho anajikuta yuko peke ake, hakuna anae msapoti. Tunasafari ndefu sana, ndio maana wanaharakati wengi wanakufa moyo wa kujitoaKwa jina lako Gabeji kila msomaji atadharau ulichoandika. Usimlinganishe Mwakubusi na Msigwa au na lile Bumunda lililolewa rubisi na kutoa Siri za chama.
Ndicho nitafanya pia,ukijipata tuliaIf you can't fight them,join them
SureIf you can't fight them,join them
Siyo Mwabukusi tuu, Mbowe kanywa asali kitambo sana, unamshangaa Mwabukusi?Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana
Tatizo wengi wetu hata hatujui tunapigania nini Tukishajua hayo tutakuwa tunakemea mabaya na kusupport mazuri no matter ni Chama gani (CCM, CHADEMA au chochote kitakachokuja kesho) after all hizi ni platforms tu za kutafuta utawala no ideological difference...., Ndio maana nilishasema...If you can't fight them,join them
Juzi alikuwa na kikao na AG Hamza Johari ofisini kwake Dodoma, kakumbushwa kufanya kazi kwa kuzingatia taaluma na aachane na siasa za instagram na X za kutafuta sifa binafsi.Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi itakuwa kamuweza nini?
Inchi hii ni ngumu sana
Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.