ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukua wapi kivipi? Au haujui kuwa hilo ni ziwa Masoko? Au sijakuelewa?Hayo maji mbeya kachukua wapi?
Ndo nilitaka nijue,mbona waniuliza kwa ukali mkuu?Kachukua wapi kivipi? Au haujui kuwa hilo ni ziwa Masoko?
DaslamUmewahi kukaa mkoa gani mwingine unaojaribu kuilinganisha na Mbeya?
😄Ndo nilitaka nijue,mbona waniuliza kwa ukali mkuu?
👏👏 Hujakosea na hutojuta kuchagua Mbeya
Kote huko Mbeya imevuka na ndio maana ni Mkoa namba 3 Kwa Uchumi wa Tanzania na mtu mmja mmja Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania👇👇Ubora wa mahali kutategemea na levels za industrialization, access to markets and infrastructures. Uzuri wa vyote hivyo hupunguza unemployment rate ambalo ndilo muhimu ktk nchi.
Ukiacha la Ukimwi, mengine chumvi imezidi na Kila Mji yapo zaidi ya hayo.Ila
Mabaya yake...
Siwezi laumu kwenye barabara, kwa maana Jiografia yake Milima sana.
- Ukimwi mwingi sana, yani sana.
- Kila kituo daladala,kuna gesti pembeni
- Imani za shirki nazo ni nyingi
- Matukio yake ya uhalifu ni ya kibabe ,,Kupigwa nondo, kuchunwa ngozi,Kutobolewa macho,Kuteka wenye alama M kwenye viganja.
- Hakuna Usalama mida ya usiku,kuanzia saa 4
- Ajali nyingi sana
- Utumizi wa Mikorogo ni mwingi
- Unywaji wa pembe kali.
- Sehemu za kwenda kutembea hasa siku za mapumziko ni chache sana.
- Ujenzi holela, aiseeh.
Ukija Mbeya next time uje upate experience ya hapa pia 👇👇Nimelala hapo nilipokuja kwenye 88. Ni pazuri na pana huduma nzuri sana.
Umefufuliwa na unapiga kazi.Mleta uzi hivi mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira umewahi kufika kweli? mgodi umechoka hauzalishi umeme,nimewahi kwenda usiku hadi nikasikitika,kwa sasa wanatumia umeme wa TANESCO,unaotoka Kidatu
Nakubali Mbeya haikutokea kuwa hivyo by chance. Nchi ime-invest hela nyingi kwa ajili ya infrastructures, masoko, elimu na yote uliyosema kwa sababu ni mkoa mkubwa kati mikubwa michache inayoilisha nchi yetu kwa chakula pamoja na mikoa mingine ya kusini. Mvua ni nyingi na ziko evenly distributed. Naongezea tu sifa za Mbeya. Kwa vigezo hivyo huwezi kulinganisha na maeneo kama Kigoma, Geita au Simiyu ingawa ni wajibu wetu kama kuiweka vizuri ipendeze kama Mbeya eti?Kote huko Mbeya imevuka na ndio maana ni Mkoa namba 3 Kwa Uchumi wa Tanzania na mtu mmja mmja Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania👇👇
View attachment 3073712View attachment 3073713View attachment 3073714View attachment 3073715View attachment 3073716View attachment 3073717View attachment 3073718