ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #801
Ni wapi hakuna furushi la wachawi?Mbona husemi pia kuwa kuna furushi la wachawi
Ni wapi hakuna furushi la wachawi?Mbona husemi pia kuwa kuna furushi la wachawi
Huku kiboko baba huku kuna wanyakyusa kijiji kizima wanaruka,unakuta mtu na familia yake nzima wanarukaNi wapi hakuna furushi la wachawi?
Bado hujasema ππMwenzako huyo
Mbeya ya Sasa kufanyika Hadi mikutano mikubwamkoa unaoongoza kwa kuwa na bajaji nyingi Tanzania