Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kwa hio unasherehekea ardhi iliokufa , Wenzio wanapanda mahindi bila mbolea na wanavuna. Biodiversity ya mbeya isha kufa, ardhi haina uhai tena. Watu wanaojielewa wanataka kurudi kwenye kilimo hai wewe unajitapia inorganic ! Umewahi fanyika utafiti kupima vyakula vinavyozalishwa mbeya ? Vyakula vya mbeya vimejaa sumu kwa taarifa yako. Na ndio maana magonjwa yamejaa tele.Mbeya ndio inaongoza Kwa fertilizer consumption hapa Tanzania wewe hujui kitu.
Ardhi ya mbeya ilishakufa mkuu ni suala la mda tu, sema Tanzania mazombi ni wengi.
Ikija kutokea mtu akafanye utafiti wa vyakula mbeya basi havitaenda sokoni, vimejaa sumu.
Hii mada ya fertilizer naomba uiache maaana binafsi nimelima sana viazi. Nakuhakikishia serikali ikiamua ipime madhara ya fertilizer na viatilifu kwa watu wa mbeya itastaajabu. Uzuri TZ tunaishi kama makondoo tu ndio maana watu kama wewe mnafurahia matumizi ya chemicals kwenye mimea.
Mwanza nao hutumia kem9kali kwenye pamba marhara yake ni kidogo sana kwa sababu pamba hailiwi ispokuwa mafuta na mashudu kwa wanyama. Anza kampeni tlya kupunguza matumizi ya kemikali ili kunusuru afya za watanzania.