Hivi vitu bajaji hata DSM posta vipo,unashida na shida ni kubwa,kama unataka maisha makali nenda china na CanadaHuwez ruhusu bajaji ndani ya Jiji labda Kijiji kikubwa kama mbeya bajaji sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vitu bajaji hata DSM posta vipo,unashida na shida ni kubwa,kama unataka maisha makali nenda china na CanadaHuwez ruhusu bajaji ndani ya Jiji labda Kijiji kikubwa kama mbeya bajaji sawa
Jamani Mufindi ni kuzuri,mgololo huko ni kijijini lakini view ni next levelNaona unataka kuzamia mtumbwi wa vibwengo😝😝😝
Dsm yenyewe ni hovyo juzi nimeenda Zenji,view ya DSM Iko cheap mnoTutafute pesa wakuu Mbeya sio sehemu ya kuishi binadamu
Wale wote ni wahamiaji wa.Sumbawanga,Songwe,Njombe na Iringa,majengo kule juu ndo origina plan ya mbeya kwenda Block T,Uzunguni pia na Soweto,maeneo mengine ni virugu.Siyo kama Mbeya. Wala sina chuki kwa sababu mwenyewe imebidi niwepo Mbeya. Hali ya hewa na tabia ya nchi ya Mbeya ni nzuri. Hilo liko wazi. Lakini watu wa Mbeya mnaharibu kwa kujenga vibaya kila kona.
Mkuu watanzania hawapendi super market,zile za Dsm ni za Makaburu,watanzania wanapenda local life.Ya nini kujidanganya hali ya mji kama Mbeya? Inahitajika kupangwa upya. Hatupaswi kutegemea uzuri wa asilo wa hali ya hewa. Miji yetu inahitaji uzuri wa kutengenezwa kwa kuweka miundo mbinu ya maana ili iweze kuvutia uwekezaji wa biashara kubwa kubwa.
Imagine mji mnauona mkubwa kama Mbeya lkn haina Supermarket hata moja.
Maeneo gani hayo mkuu,siku moja.nenda sinza nyuma ya Vunja bei panda gorofa lolote alafu xhungulia chini,hata mwanza pandaMbeya inawezekana ndio jiji lenye miondombinu mibovu zaidi na makazi yasipangaliwa na duni pia, kuna nyumba za udongo na vijumba vya ajabu ajabu katika jiji!
Kutembea panda.mrima.mbeya,tembea uzunguni kwa sugu hotel,nenda Soweto na mama John Kuna vibe huko Ilomba na uyole,ukiona vipi nenda tukuyu na usisahau kwenda vwawa one time,ukiona pia nenda.mbalali Kuna view nzuri sana.Ila
Mabaya yake...
Siwezi laumu kwenye barabara, kwa maana Jiografia yake Milima sana.
- Ukimwi mwingi sana, yani sana.
- Kila kituo daladala,kuna gesti pembeni
- Imani za shirki nazo ni nyingi
- Matukio yake ya uhalifu ni ya kibabe ,,Kupigwa nondo, kuchunwa ngozi,Kutobolewa macho,Kuteka wenye alama M kwenye viganja.
- Hakuna Usalama mida ya usiku,kuanzia saa 4
- Ajali nyingi sana
- Utumizi wa Mikorogo ni mwingi
- Unywaji wa pembe kali.
- Sehemu za kwenda kutembea hasa siku za mapumziko ni chache sana.
- Ujenzi holela, aiseeh.
Kuna machimbo yanakesha Sae, Ilomba,Mamajohn na Nyuma ya mfekemo na RoyalHongereni wana mbeya ila jiji lenu linazima mapema sana samoja tu kila mtu ndani
Chunya road after kawetereHizo meanders za wapi huko Mbeya
Hizo stendi zote zilitamalaki kipindi cha Miaka 17 iliyopita,ni swala la muda na mipango Jiji wataliweka sawa hiloKwa Mbeya mjini hapana mkuu.Danganya wasiofika.
1.Poor Infrastructures,barabara za mitaaniu ni vumbi&giza
Hata taa za mitaani shida..
Soko changamoto
(Sijaona cha maana pale Mwanjelwa,Kabwe & Soweto)
Stand za bus mjini na nanenane ni aibu,hakuna majengo ya maana ya stendi kama zilivyo Msamvu Terminal,Magufuli Terminal,Dodoma(88) Terminal etc
2.Poor housings etc
Labda pembezoni huko.
Vijumba vingiii kuliko nyumba za maana.
Isipokuwa taasisi tu
NB;
Kwa hali ya hewa ni pazuri✓
Utalii wa mandhari asilia✓
Hoteli Nzuri ×
Wingi wa watu✓
Vyakula✓
Nahisi mlivyomkwaza jiwe kipindi kile, aliamua kuwatelekeza kimiundombinu😅😅
Nashauri utembelee mikoa mingine.
Ipo siku nitakwenda nikazurureChunya road after kawetere
Miezi miwili iliopita nilikuwa hapo ujueHizo stendi zote zilitamalaki.kipindi.cga Miaka 17.iliyopita,ni swala.la.muda na mipango Jiji wataliweka sawa hilo
Tughimbe ni pub?Unajua kwanini hawapendi,they invest in farming,ukiona mtu anapika is for funny wanalima sana,any way kulikuwa na pub inaitwa Sunrise ilikufa,lakini Kuna royal tughimbe is hot 🔥
Kuna vitu vingine mnaongea kama mnachekesha au msiokuwa na akili.Kuna Mji Nchi hii ambao Barabara za Mitaani zote ni vumbi? Kama unadai hakuna hata kidogo nikuoneshe picha za Barabara za Mitaani?Kwa Mbeya mjini hapana mkuu.Danganya wasiofika.
1.Poor Infrastructures,barabara za mitaaniu ni vumbi&giza
Hata taa za mitaani shida..
Soko changamoto
(Sijaona cha maana pale Mwanjelwa,Kabwe & Soweto)
Stand za bus mjini na nanenane ni aibu,hakuna majengo ya maana ya stendi kama zilivyo Msamvu Terminal,Magufuli Terminal,Dodoma(88) Terminal etc
2.Poor housings etc
Labda pembezoni huko.
Vijumba vingiii kuliko nyumba za maana.
Isipokuwa taasisi tu
NB;
Kwa hali ya hewa ni pazuri✓
Utalii wa mandhari asilia✓
Hoteli Nzuri ×
Wingi wa watu✓
Vyakula✓
Nahisi mlivyomkwaza jiwe kipindi kile, aliamua kuwatelekeza kimiundombinu😅😅
Nashauri utembelee mikoa mingine.
Ni Jiji la Mbeya😅😅😂😂🤣🤣 atakuja mtu hapa aseme MBEYA NI LIKIJIJI LIKUBWA LILILO CHANGAMKA"🏃🏃🏃🏃
Wewe hoja zako Zina matege ya mahaba Kwa Mwanza 😂😂Nimesema along the road.
Mbeya hakuna pulling factor ktk mji.
Mwanza kuna ziwa linaloleta utitiri wa watu. Kuna viwanda vya samaki, biashara ipo juu. Ni center ya mikoa ya Shy, Kagera, Mara, Tabora, Singida nk.
Mbeya ipo pembezoni sana watu wa Njombe ndio wamejaa. Mwanza iache tu kama ilivyo mbeya haitakuja kuifikia.
Mbeya asilimia kubwa wanategemea kilimo cha kujikimu, hawana ufugaji mkubwa,wala uvuvi, viwanda vichache sana kulinganisha na majiji mengine.
Umefikia kwenu huko walikojenga ndugu zako kwenye slums unadhani Mbeya yote ni slum?Nimeishi Mbeya almost 5 yrs ..pabovu mno hapo mjini..hufeel raha ya kuwa ni mji..slums kote
Onyesha hiyo nyumba ya tope.Unajua Hilo daraja liliko kwanza?Daraja zuri lakini angalia background hapo hizo nyumba za tope kila mahali, na hapo ndio maeneo yenu ya kula bata, kutwa nzima kukesha kwenye makanisa na mambo ya kishirikina na kupiga umbeya kama jina la mkoa wenu.
Wewe una mahaba na mbeya.Mbeya.Mbeya itakuja kuipita Mwanza subiria Barabara kuu zote zifunguke na migodi ianze kufanya kazi.