sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)
Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.
Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.
Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo wanaonyimwa unyumba huanza uzinzi kwa kunununua madada poa, kuwa na michepuko, kujichua, n.k.