Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

Hivi, mwanamke anaanzaje kumnyima mumewe tendo la ndoa?

Yaani, anakuwa ni mke wangu wa jamaa yangu?

Mimi mwanandoa ninyimwe unyumba na mwanandoa mwenzangu. Atakuwa anaishi wapi?

Mambo mengine naona kama ndoto hivi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Subiri uoe ndipo utayajua ya ndoani!
 
Sasa mtu awe kwenye ndoa ananyimwa tendo (neno lenyewe kunyomwa katika mantiki hii linakera sana), achilia mbali mwaka mzima huoni kama tatizo hapo siyo tendo ni ndoa iko taabani?. Hata wasuluhishi wala hawatafocus kwenye tendo bali hali halisi ya ndoa kuondoa mzizi wa tatizo. This post naona ni matumizi mabaya ya space, it makes no sense.
 
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)

Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.

Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.

Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo wanaonyimwa unyumba huanza uzinzi kwa kunununua madada poa, kuwa na michepuko, kujichua, n.k.
ninyi mlidanganywa sana na mtu aliyejaribu kushinda dhambi kwa njia ya mwili. sisi tulioamua kuokoka, sio tu wale ambao ni wakristo ila hawajaokoka, tunaishinda dhambi kwa msaada wa Mungu anayebadilisha roho zetu na kutuwezesha. siandiki hivi nikimaanisha sijawahi kuzini, najua kuzini ni nini na nguvu ya zinaa ilivyo, ndio maana kwa bila kubadilishwa rohoni na Yesu Kristo huwezi kushinda dhambi. hii ndio sababu ninyi mnaooa wanawake hata 4, iwe hapa bongo au hata uarabuni, bado mnawaacha wale wanne na kuzini. hapo ndio mjione mlivyopotezwa mazima na aliyewaletea hayo mafundisho. mbona mnawaacha wale wanne na kwenda kuzini na wanawake wa nje?au unabisha?
 
Hivi, mwanamke anaanzaje kumnyima mumewe tendo la ndoa?

Yaani, anakuwa ni mke wangu wa jamaa yangu?

Mimi mwanandoa ninyimwe unyumba na mwanandoa mwenzangu. Atakuwa anaishi wapi?

Mambo mengine naona kama ndoto hivi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Yapo Mkuu
 
Aliyewaambia mkioa wake wengi mnaacha uzinzi aliwadharau sana[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)

Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.

Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.

Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo wanaonyimwa unyumba huanza uzinzi kwa kunununua madada poa, kuwa na michepuko, kujichua, n.k.
Uzinz ni nature ya binadamu hata uoe kumi kama huwez kuucontrol mwili wako utakupeleka kokote utakako. Ndio maana M,Mungu anataka ujitoe sadaka mwili wako kuwa hekalu takatifu la Roho Mtakatifu. Na kwa Mungu kutii ni bora kuliko ibada.
 
Tunazungumzia ndoa halali
 
Mungu aliumba mwanaume na mwanamke hajaumba mwanaume na wanawake. So ndoa ni mke mmoja tu. Wengi wa wanaoongeza ni kwasababu ya zinaa nothing more.
Ndoa na uumbaji ni vitu viwili tofauti.

Hata kuku aliumbwa Jogoo na Tetea lakini Jogoo kaumbwa kuwa na tetea wengi.

Manabii kibao tu nao walifanya kazi za za Mungu wakiwa na mke zaidi ya moja
 
Ndio maana wewe sio kuku. Umepewa utashi na utakuwa accountable na kila unachofanya.
manabii wapo kibao tu waliooa zaidi ya mke moja huku wakiwa wanatekeleza majukimu ya Mungu, hakuna sehemu walikatazwa
 
Zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazion lakin sasa ameamuru kila mtu atubu maana ameweka siku ya hukumu. Soma Bible Chief.
 
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)

Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.

Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.

Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo wanaonyimwa unyumba huanza uzinzi kwa kunununua madada poa, kuwa na michepuko, kujichua, n.k.

ndo maana hawataki ndoa za fasta fasta chunguzaneni!! Asa we ulishaona mwenzio n MCHOYO kwann umeumuoa ??hukujua kuna siku atakunyima
 
Back
Top Bottom