Subiri uoe ndipo utayajua ya ndoani!Hivi, mwanamke anaanzaje kumnyima mumewe tendo la ndoa?
Yaani, anakuwa ni mke wangu wa jamaa yangu?
Mimi mwanandoa ninyimwe unyumba na mwanandoa mwenzangu. Atakuwa anaishi wapi?
Mambo mengine naona kama ndoto hivi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
ninyi mlidanganywa sana na mtu aliyejaribu kushinda dhambi kwa njia ya mwili. sisi tulioamua kuokoka, sio tu wale ambao ni wakristo ila hawajaokoka, tunaishinda dhambi kwa msaada wa Mungu anayebadilisha roho zetu na kutuwezesha. siandiki hivi nikimaanisha sijawahi kuzini, najua kuzini ni nini na nguvu ya zinaa ilivyo, ndio maana kwa bila kubadilishwa rohoni na Yesu Kristo huwezi kushinda dhambi. hii ndio sababu ninyi mnaooa wanawake hata 4, iwe hapa bongo au hata uarabuni, bado mnawaacha wale wanne na kuzini. hapo ndio mjione mlivyopotezwa mazima na aliyewaletea hayo mafundisho. mbona mnawaacha wale wanne na kwenda kuzini na wanawake wa nje?au unabisha?Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)
Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.
Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.
Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo wanaonyimwa unyumba huanza uzinzi kwa kunununua madada poa, kuwa na michepuko, kujichua, n.k.
Yapo MkuuHivi, mwanamke anaanzaje kumnyima mumewe tendo la ndoa?
Yaani, anakuwa ni mke wangu wa jamaa yangu?
Mimi mwanandoa ninyimwe unyumba na mwanandoa mwenzangu. Atakuwa anaishi wapi?
Mambo mengine naona kama ndoto hivi.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Uzinz ni nature ya binadamu hata uoe kumi kama huwez kuucontrol mwili wako utakupeleka kokote utakako. Ndio maana M,Mungu anataka ujitoe sadaka mwili wako kuwa hekalu takatifu la Roho Mtakatifu. Na kwa Mungu kutii ni bora kuliko ibada.Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)
Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.
Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.
Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo wanaonyimwa unyumba huanza uzinzi kwa kunununua madada poa, kuwa na michepuko, kujichua, n.k.
Tunazungumzia ndoa halaliUzinz ni nature ya binadamu hata uoe kumi kama huwez kuucontrol mwili wako utakupeleka kokote utakako. Ndio maana M,Mungu anataka ujitoe sadaka mwili wako kuwa hekalu takatifu la Roho Mtakatifu. Na kwa Mungu kutii ni bora kuliko ibada.
Mungu aliumba mwanaume na mwanamke hajaumba mwanaume na wanawake. So ndoa ni mke mmoja tu. Wengi wa wanaoongeza ni kwasababu ya zinaa nothing more.Tunazungumzia ndoa halali
Ndoa na uumbaji ni vitu viwili tofauti.Mungu aliumba mwanaume na mwanamke hajaumba mwanaume na wanawake. So ndoa ni mke mmoja tu. Wengi wa wanaoongeza ni kwasababu ya zinaa nothing more.
Ndio maana wewe sio kuku. Umepewa utashi na utakuwa accountable na kila unachofanya.Ndoa na uumbaji ni vitu viwili tofauti.
Hata kuku aliumbwa Jogoo na Tetea
manabii wapo kibao tu waliooa zaidi ya mke moja huku wakiwa wanatekeleza majukimu ya Mungu, hakuna sehemu walikatazwaNdio maana wewe sio kuku. Umepewa utashi na utakuwa accountable na kila unachofanya.
Zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazion lakin sasa ameamuru kila mtu atubu maana ameweka siku ya hukumu. Soma Bible Chief.manabii wapo kibao tu waliooa zaidi ya mke moja huku wakiwa wanatekeleza majukimu ya Mungu, hakuna sehemu walikatazwa
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)