Hakuna mnyama anae mshinda kwa mbio kama huyu Ngiri nguruwe mwitu Simba chui hapa kiboko yao V18

Mpenda vurugu

Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
98
Reaction score
621
Anaitwa Nguruwe poli ama NGIRI
Ni mnyama anae trend sana kwenye Kila Reels ya social media.

Na anauwezo wakukimbia haijalishi adui ametokezea wapi, na anauwezo wakumtisha yoyote adui awe simba ama fisi au chui na viboko wanamuogopa.

Napenda anavyo kimbia mwamba. Wewe unamjuaje?
Karibu nasoma kila comment
 

Attachments

  • FB_IMG_1729018721039.jpg
    31 KB · Views: 10
A.K.A mwana haramu
 
Tatizo mjinga, hukimbia na kujisahau kwamba anakimbia nini au anamtoroka nani, hivyo ukitaka kumfuma usishindane naye, muache achomoke kisha mfuate taratibu unaweza kushangaa kageuza anarudi ulipo.
Kwa tabia hiyo mtu ukiitwa ngiri yakupasa urushe ngumi 🤣
 
Naona wawimdahi wengi wana bahati ya kumpata...sijajua ndio anakimbia bila malengo au anajisahau anazubaa wanamkuta na kumpiga ? Naona wengi sana wanamuwinda na kumpata
 

Usipotoshe watu. Ngiri si nguruwe pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…