Hakuna movie imewahi nihuzunisha kama hii

Hakuna movie imewahi nihuzunisha kama hii

Msalimie๐Ÿ‘‹
Pixar wanajitahidi sana animation zao zimetulia Up na Wall E kwangu ni the best.

Hii comment nii screenshot kabisa ase
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’“๐Ÿ’“
UP niliipenda mwanzoni japo pia kuendelea sio mbaya. Hata wall E.
Unaitunza enh? Na mimi natunza hizo "I love you" ulizoniwekea.
 
The croods, Megamind,Home,Pussy n boot, Boss baby usizisahau.

Disney animation hua sizipendi sana ajili zimebase sana kwenye Disney's Princess. Angalau Moana,Frozen na Ralph naweza zirudia zaidi. Moana napeda nyimbo๐Ÿ’“
Wimbo wa Tomatoa, shine ni moja ya nyimbo kali sana kwenye animation.๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Hivi bongo kweli tumeshindwa kuwa na animation studio ya maana kweli? Hivi wizara ya habari na utamaduni haina jukumu la kuwezesha jambo kama hilo? Walau kwa kutoa mafunzo nk.
 
The croods, Megamind,Home,Pussy n boot, Boss baby usizisahau.

Disney animation hua sizipendi sana ajili zimebase sana kwenye Disney's Princess. Angalau Moana,Frozen na Ralph naweza zirudia zaidi. Moana napeda nyimbo๐Ÿ’“
Yeah The Croods na Megamind. Hauwezi amini Puss in Boots nilioana lakini sikuifuatilia.
Ngoja nilale kidogo Vers.
 
napenda animation sana.ngoja niitafute.
pia kuna iko moja ni kama animation ilinipa huzuni sana.kuna mdada ameungwa ungwa km kiroboti ila anapiga mkono hatari..
kuna sehemu wakora walimgawa vipande vipande ila kuna dokta akamuunganisha!inatia huruma sana ila jina nimesahau
Nimekumbuka hii Ina drama za mapenzi kwa mbaliiii, mimi nilipenda kile kiuno chake tu yule roboti.[emoji2957]
 
rave of the fireflies. Animation ya kijapan ya mwaka 1988. Kijana mdogo akiwa na mdogo wake anapambana kusurvive wakati wa WWII. Da'Vinci Paula Paul mmewahi icheki hii.

View attachment 1791250

Kulikuwa na balaa la ugonjwa wa hatari sana dunia nzima kuzidi hata COVID-19, lakini kwa bahati nzuri madakatari wakawa wamefanya kazi kwenye maabara na kugundua tiba. Kwa bahati mbaya tena akapatikana mbabe mmoja anaitwa Fender, (huyo aliyevaa miwani hapo juu), akawa anataka kumiliki siri za tiba hiyo, aimiliki yeye dunia nzima ili awe tajiri. Hii dunia kazi sana
Jamani madaktari kwa hapa duniani, ni wasaidizi wa Mungu wa karibu mno, pengine sawa tu kama walivyo watumishi wa Mungu wanaofanya kazi kwenye nyumba za Ibada
 
Sana. Mimi hua napenda sana hizo dialogues zimesimama. Hasa pale inapoanza muvi

Nilichonote ni kua, Dreamworks wanatengeneza animation nzuri sana ila hua haziingizi mapato sana kama animation za Disney/Pixar. Muvi pekee zenye mapato bora dreamworks ni Madagascar franchise na Shrek franchise. BTw nawakubali zaidi dreamworks
In April 2011, DreamWorks Animation's CEO, Jeffrey Katzenberg, commented that the studio did not have plans to produce future movie-genre parodies like Shark Tale, Monsters vs. Aliens, and Megamind, saying that these films "all shared an approach and tone and idea of parody, and did not travel well internationally. We don't have anything like that coming on our schedule now."
Unajua wakati inatoka ilitoka wakati huo huo Despicable Me. Hii ilichangia sana kudhoofisha Megamind. Ila mimi ninaona bora Megamind ingepata mwendelezo kuliko hizo sequel za Despicable Me.
 
Zitunze tu bibie, Maana hua sizitoi bila sababu au bila maana ๐Ÿ’“๐Ÿ’“๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž
3sfvov.png
 
napenda animation sana.ngoja niitafute.
pia kuna iko moja ni kama animation ilinipa huzuni sana.kuna mdada ameungwa ungwa km kiroboti ila anapiga mkono hatari..
kuna sehemu wakora walimgawa vipande vipande ila kuna dokta akamuunganisha!inatia huruma sana ila jina nimesahau
Alita battle angle ni animation na reality
 
napenda animation sana.ngoja niitafute.
pia kuna iko moja ni kama animation ilinipa huzuni sana.kuna mdada ameungwa ungwa km kiroboti ila anapiga mkono hatari..
kuna sehemu wakora walimgawa vipande vipande ila kuna dokta akamuunganisha!inatia huruma sana ila jina nimesahau
allita,battle anjel

habari ya kusikitisha zaidi,hakuna dalili za part two๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Iyo mizigo uliyo taja apo yote ya ukweli ukiangalia lazima ufurahi mwambie anze na panya RATATOUILLE
Hizo zote ameangalia tayari.
Wewe umeangalia The Iron giant? Director wake ni Brad Bird ambae ni director pia kwenye hiyo Ratatouille na The Incredibles. Ni nzuri sana.
 
Hizo zote ameangalia tayari.
Wewe umeangalia The Iron giant? Director wake ni Brad Bird ambae ni director pia kwenye hiyo Ratatouille na The Incredibles. Ni nzuri sana.
Iyo iron giant sijawahi icheki km una link ni dondoshe nami nipate furahi
 
Back
Top Bottom