Hakuna movie imewahi nihuzunisha kama hii

MsalimieπŸ‘‹
Pixar wanajitahidi sana animation zao zimetulia Up na Wall E kwangu ni the best.

Hii comment nii screenshot kabisa ase
πŸ˜πŸ˜πŸ’žπŸ’žπŸ’“πŸ’“
UP niliipenda mwanzoni japo pia kuendelea sio mbaya. Hata wall E.
Unaitunza enh? Na mimi natunza hizo "I love you" ulizoniwekea.
 
The croods, Megamind,Home,Pussy n boot, Boss baby usizisahau.

Disney animation hua sizipendi sana ajili zimebase sana kwenye Disney's Princess. Angalau Moana,Frozen na Ralph naweza zirudia zaidi. Moana napeda nyimboπŸ’“
Wimbo wa Tomatoa, shine ni moja ya nyimbo kali sana kwenye animation.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hivi bongo kweli tumeshindwa kuwa na animation studio ya maana kweli? Hivi wizara ya habari na utamaduni haina jukumu la kuwezesha jambo kama hilo? Walau kwa kutoa mafunzo nk.
 
The croods, Megamind,Home,Pussy n boot, Boss baby usizisahau.

Disney animation hua sizipendi sana ajili zimebase sana kwenye Disney's Princess. Angalau Moana,Frozen na Ralph naweza zirudia zaidi. Moana napeda nyimboπŸ’“
Yeah The Croods na Megamind. Hauwezi amini Puss in Boots nilioana lakini sikuifuatilia.
Ngoja nilale kidogo Vers.
 
Nimekumbuka hii Ina drama za mapenzi kwa mbaliiii, mimi nilipenda kile kiuno chake tu yule roboti.[emoji2957]
 
rave of the fireflies. Animation ya kijapan ya mwaka 1988. Kijana mdogo akiwa na mdogo wake anapambana kusurvive wakati wa WWII. Da'Vinci Paula Paul mmewahi icheki hii.

View attachment 1791250



Kulikuwa na balaa la ugonjwa wa hatari sana dunia nzima kuzidi hata COVID-19, lakini kwa bahati nzuri madakatari wakawa wamefanya kazi kwenye maabara na kugundua tiba. Kwa bahati mbaya tena akapatikana mbabe mmoja anaitwa Fender, (huyo aliyevaa miwani hapo juu), akawa anataka kumiliki siri za tiba hiyo, aimiliki yeye dunia nzima ili awe tajiri. Hii dunia kazi sana
Jamani madaktari kwa hapa duniani, ni wasaidizi wa Mungu wa karibu mno, pengine sawa tu kama walivyo watumishi wa Mungu wanaofanya kazi kwenye nyumba za Ibada
 
Unajua wakati inatoka ilitoka wakati huo huo Despicable Me. Hii ilichangia sana kudhoofisha Megamind. Ila mimi ninaona bora Megamind ingepata mwendelezo kuliko hizo sequel za Despicable Me.
 
Alita battle angle ni animation na reality
 
allita,battle anjel

habari ya kusikitisha zaidi,hakuna dalili za part two😭😭😭
 
Iyo mizigo uliyo taja apo yote ya ukweli ukiangalia lazima ufurahi mwambie anze na panya RATATOUILLE
Hizo zote ameangalia tayari.
Wewe umeangalia The Iron giant? Director wake ni Brad Bird ambae ni director pia kwenye hiyo Ratatouille na The Incredibles. Ni nzuri sana.
 
Hizo zote ameangalia tayari.
Wewe umeangalia The Iron giant? Director wake ni Brad Bird ambae ni director pia kwenye hiyo Ratatouille na The Incredibles. Ni nzuri sana.
Iyo iron giant sijawahi icheki km una link ni dondoshe nami nipate furahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…