Hakuna movie imewahi nihuzunisha kama hii

Nimeingalia wiki hii asee imenisikitisha sana Mimi. Hii muvi imenifanya niichukulie WWII kwa upande wa tofauti mwanzo nilikua nasoma tu Kwamba bomb zilipigwa Japan basi ila sasa nimeona how people suffered and thrilled 😢
Setsuko aliniuma mno
Sikutegemea kama ungekuja kuiangalia Vinci. Uliniambia haupendi huzuni.
Ni kweli inahuzunisha sana.
 
Leo hii nahamu kubwa sana ya kulia ili kupoza machungu ya kuachwa😭😭😭 ebu nipeni movie nzur ya full huzuni nilie mpaka nitulie mwenyewe, nimejifungia geto saizi na nmefungulia redio high sound ili nikilia majiran wasisikie😭😭😭 full kulia leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…