Hakuna msanii BONGO mgumu kumuintavyuu kama huyu,ni pasua kichwaa..........

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Hakuna msanii wa Bongo mgumu kumuintavyuu kama TID; Jamaa ana kila aina ya dharau + majivuno,sipatii picha angekuwa na hela au angeendelea kuwa na ile nyota yake ya kipindi kile enzi za ZEZE na SIAMINI ingekuwaje.

Hapa Sporah alitamani Intavyuu iishe LoL;

https://www.youtube.com/watch?v=Bq3av3cc3No
(Ingawa kuna baadhi ya maeneo kwenye hiyo Intavyuu namsapoti TID bcoz huyu mdada anauliza maswali mengine ya kipuuzi
)


Hapa Salama J pamoja na uchizi wake wote ila ilibidi awe mpole;
Mkasi - SO3E12 with TID - YouTube
 
Kabla hujamaliza jumtaja jina nilijua tu ni tid,ila ndivyo alivyo he is real he does not copy life style ya mtu,ni vzur tu ayo mengine ni mapungufu yake ambayo kila mt anayo
 
ok ngoja nipitie baadhi ya maswali aliyoulizwa
 
SPORAH: Hapa watu wanasema TID amepungua sana,kitu ambacho kinasikitisha,amepungua sana mwili umekuwa...amekuwa kama mtoto mdogo,sahivi hata akivaa nguo hapendezi tena kwasababu either basi labda ni pombe kama ni pombe basi unakunywa sana....

TID: Sometimes i need to be who want to be,no body tells me unapungua or hupungui,i wanna be flexible with my music and ma work,i think this is a good look i need to look,i don't wanna be like anybody,i wanna be special.I am fit,am healthy,how we care about what people say abt me...

SPORAH: But we care abt u...

TID: Its ma weight,its ma life,its ma health.If i am good am good...

SPORAH: Do u think u have good health at the moment?

TID: Yea am fine,am healthy

SPORAH: I dont think ur healthy though...

TID: Are u my doctor?A u tryn be my doctor?

SPORAH: No u dont look healthy..

TID: U think so but i look healthy,u havent taken me to hospital how do u prove such a thing?

SPORAH: I am among people see u daily,

TID: People seeng me? Ur first seeng me today in uk...

SPORAH: I am ur big fan,and i love ur music and i watch ur music daily

TID: So u have a point,u brought me today to tell me unhealthy, u wanna have an interview with unhealth person?

SPORAH: No,i really want an interview with a healthy TID.(Alipoona mambo yanaanza kuwa magumu ikabidi ajifanye anapotezea hiyo mada kwa kuuliza maswali mengine kutoka kwa fans) but TID akawa anaendelea kuongea.....

TID: I really want appriciate what ur saying,if u coming to the point like telling me straight that am unhealthy,am healthy, ur not a doctor,u have unchecked me yet so dont try ********** (Ikabidi waikate hiyo sehemu,teh..!)


NB: HIYO NI SEHEMU TU YA INTAVYUU,SORRY KAMA NTAKUWA NIMEWANUKUU VIBAYA,SI UNAJUA TENA 'KIZUNGU'
 
Maswali mengi yaliyofatia aliyokuwa anaulizwa alikuwa anajibu 'NO COMENT'
 
SPORAH: Na watu wanasema ulisign kufanya show ya Lady JD from no where ukakataa kufanya show yake,ilikuwajekuwaje?

TID: Because i had another better contract...

SPORAH: Na hiyo ndo ilikuwa dili ya kuja uk sasa?

TID: Hapana ilikuwa ni dili nyingine

SPORAH: Palepale tz?

TID: Ndio

SPORAH: Wanafikiria watu kwamba ulitumiwa na Clouds....ni ya kweli hayo?

TID: No,I dont work 4 Clouds,I dont work 4 anybody,I work for my own band

SPORAH: Relationship gani uliyonayo na watu wa Clouds?

TID: No comment...

SPORAH: Relationship gani uliyonayo na Lady jd?(huku akicheka)

TID: No comment too......

SPORAH: Kwasababu hii unajua tatizo lilikuwa kubwa sana na lilihit sana pale Tanzania....

TID: Aaah,tatizo ni kwao tu sio kwangu,mimi i have to book good contract with better payment,thats what am looking to proceed and not to be on the same level everyday.Hata kama saanyingine Ladyjd akisema tu bwana u come to ma show i come to her show but......(sijasikia vizuri) ... i have to pay my bills.

SPORAH: Sure,kwahiyo Mlikuwa hamjasign contract au ilikuwaje?

TID: No comment......

SPORAH: Hutaki kuongea TID sasa jaman TID mbona unanikatalia tena maswali yangu,unanionea bwana.....(akachange topic,ikabid aendelee na maswali mengine)

HIYO NI SEHEMU NYINGINE YA INTAVYUU....!!!
 
Huyu jamaa daah kaaz kwelikweli anaoishi nao wana kazi.Salama mwenyewe na uchiz wake huwa anakuwa mpole akimuhoji mnyama
 
Oy wakuu uko UK pesa zake alipata manake nilisikia analalamika kuhusu pesa za shoo ya UK,
 
Nadhani ndo inavyotakiwa,jamaa ana msimamo wake binafsi

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hahahaaaa...tutamkaribisha kwenye chama chetu....anafaa.
 
kuna show moja shabiki alimtunza mia tano tid akatoa poch yake akatoa dola kadhaa na kumkabidh shabiki kwa dharau na kuondoka jukwaa ani
 
kuna show moja shabiki alimtunza mia tano tid akatoa poch yake akatoa dola kadhaa na kumkabidh shabiki kwa dharau na kuondoka jukwaa ani

how come? wakati kwenye show zake lazima apande kwenye meza za wateja kuomba hela???????
 
Sporah anatakiwa awe ameeandaa maswali ya fans na kuyafanya yake. Anauliza maswali ya kuudhi anategemea majibu gani? Hiyo show itabuma karibuni.
 
.....hahaha, angalau bana. He's living his life!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…