Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Hakuna msanii wa Bongo mgumu kumuintavyuu kama TID; Jamaa ana kila aina ya dharau + majivuno,sipatii picha angekuwa na hela au angeendelea kuwa na ile nyota yake ya kipindi kile enzi za ZEZE na SIAMINI ingekuwaje.
Hapa Sporah alitamani Intavyuu iishe LoL;
https://www.youtube.com/watch?v=Bq3av3cc3No
(Ingawa kuna baadhi ya maeneo kwenye hiyo Intavyuu namsapoti TID bcoz huyu mdada anauliza maswali mengine ya kipuuzi)
Hapa Salama J pamoja na uchizi wake wote ila ilibidi awe mpole;
Mkasi - SO3E12 with TID - YouTube