Hakuna msanii BONGO mgumu kumuintavyuu kama huyu,ni pasua kichwaa..........

unga bangi mi jacky daniels john mtembezi ni vitu vinavotaka kumliwaza msanii wa bongo aliepotea kwenye gemu.. wachache sana ambao hutulia sehemu moja..
 
TID anabore, onetime aliwahi pigiwa simu na Sud Brown akapokea mkewe akaanza kutukuna matusi yasiyofaa hata mbele ya jamii, huku akijua aarekodiwa. Ni Kiburi na dharau tu. Asipobadirika atapotea
 
TID anabore, onetime aliwahi pigiwa simu na Sud Brown akapokea mkewe akaanza kutukuna matusi yasiyofaa hata mbele ya jamii, huku akijua aarekodiwa. Ni Kiburi na dharau tu. Asipobadirika atapotea

na wao hata baada ya kurekodi hayo matusi kwanini waliyarusha hewani kama yalivyo?
 
Jamaa ana guu la bia.....hahahaaaaa
 
Sporah ndio amechemsha mwenyewe hapa
 
Huyu jamaa daah kaaz kwelikweli anaoishi nao wana kazi.Salama mwenyewe na uchiz wake huwa anakuwa mpole akimuhoji mnyama

huyu mnyama chura kiboko yake ni hasheem na ndio angekuwa anamfanyia intrview adabu ingekuwa mbele
 
Sijaona hata jibu moja lililonje ya mstari!
 
... haya matusi..very nice TID... haka kademu sporah haka.. fck... kama tid hajawa mkali angeweza muuliza unasimamisha kweli..? au unaweza sex siku hizi... shenzi type sporah...
 
TID anabore, onetime aliwahi pigiwa simu na Sud Brown akapokea mkewe akaanza kutukuna matusi yasiyofaa hata mbele ya jamii, huku akijua aarekodiwa. Ni Kiburi na dharau tu. Asipobadirika atapotea

Apotee marangapi?
 
Interview iko kimajungu sana ilibidi maswali yake mixed yale ya mafanikio na yale negative sa kila swali unaponda tu mara umwite mtu mdokozi huyo presenter nae hana elimu af nshamwona interview nyngne ana vitabia vichafu maneno ya chumban anaongea studio
 
Anafaa kufanya kazi kwa Shigongo,maana magazeti yake nayo yamebase sana kwenye negativity kwa ishu za mastaa eti ndo yanauza,bila kujali wanaharibu image kwa huyo staa kwa jamii/mashabiki wake.Huyu dada inaonekana sio mtu mzuri,but bahati mbaya kakutana na mwendawazimu,alitamani aombe po
 
Waandishi/ wanahabari wa kibongo kama huyu wanahitaji exposure zaidi.

Mtu anafanya mahojiano kama anang'oa jino, halafu hana the slightest ounce of even the pretence of decorum, faragha -hata kwa mastaa ipo- ni neno la kigeni kwake.
 
Hahaha.. Umenena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…