Hakuna mtandao mbovu na wenye maudhi kama Vodacom

Hakuna mtandao mbovu na wenye maudhi kama Vodacom

Voda net yao bomba ila vifurushi wako na gharama sana mie siwawezi nyumbani naskia kutam MB kibao ila sasa internet mashikolo kuna mtu kaitupa namjua kabisa anasema ukiwa town mambo super sogea pande ya kimara kwenda mbele network error wajipange wakunyumba watu turudi kwa kishindo
 
Mi naongea na mpenzi wangu kwa whatsapp call kila siku na kila muda yaan utafikiri anakuwa pembeni yangu hakuna hata kero,,na kuna rafiki yangu tunaongea wala hakuna shidaa,nyie wa dar mna matatizo mengi
Kuna aina na aina ya bundle ukijiunga whatsapp video call inakuwa kimeo kwelikweli.

Kuna mtu nikimpigia akiwa na kifurushi cha whatsapp+fb hapo inakuwaga majanga. Ila akijiunga internet kawaida calls zinakuwa njema.
 
Mh mbona mm najiunganga net ya kawaida na inasumbua vibaya mnoooo
 
Kwanza hiyo ya kwako tu ni OFA sasa sioni kama kuna haja ya kulalamika
 
Back
Top Bottom