Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Eee wa mjiniShunie nae ni wa Dar.
Wa koromije mmShunie nae ni wa Dar.
Yaan voda ukitaka kuongea na mtu kwa video call utatamani kuitupa simuMwanza sisi raha tu,dar voda inasumbuaa
Mwanaume wake nae ni wa Dar?Eee wa mjini
AhahahahahahahahahYaan voda ukitaka kuongea na mtu kwa video call utatamani kuitupa simu
Ukiwa unaenda nyumbani utanipitia hapa Singida.Wa koromije mm
Khaaaa hilo swali unatakiwa uniulize mwenyeweMwanaume wake nae ni wa Dar?
Mm nimeitupa hiyo lineAhahahahahahahahah
Sasa mimi iko vizurii kweliii yaan hadi raha ,dar mna matatizooo
Uniwekee na mafuta basiUkiwa unaenda nyumbani utanipitia hapa Singida.
Usijali nitakupa hata Nzige uende nao.Uniwekee na mafuta basi
Hapana nataka mafuta tu mm mzee wa mtetemo ebu fanya fanya nipate notification mbona unanitesa hivi jamaniUsijali nitakupa hata Nzige uende nao.
Ngoja nitazame Setting nione kama nilikorokochoa madudu.Hapana nataka mafuta tu mm mzee wa mtetemo ebu fanya fanya nipate notification mbona unanitesa hivi jamani
Ebu angalia jamani sipati notification yako yeyoteNgoja nitazame Setting nione kama nilikorokochoa madudu.
Kuwa na Amani Mambo yote yatakaa sawa.Ebu angalia jamani sipati notification yako yeyote
Sawa mzee wa mtetemoKuwa na Amani Mambo yote yatakaa sawa.
Kuna aina na aina ya bundle ukijiunga whatsapp video call inakuwa kimeo kwelikweli.Mi naongea na mpenzi wangu kwa whatsapp call kila siku na kila muda yaan utafikiri anakuwa pembeni yangu hakuna hata kero,,na kuna rafiki yangu tunaongea wala hakuna shidaa,nyie wa dar mna matatizo mengi
Mh mbona mm najiunganga net ya kawaida na inasumbua vibaya mnooooKuna aina na aina ya bundle ukijiunga whatsapp video call inakuwa kimeo kwelikweli.
Kuna mtu nikimpigia akiwa na kifurushi cha whatsapp+fb hapo inakuwaga majanga. Ila akijiunga internet kawaida calls zinakuwa njema.