Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha.

Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya.

Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii ishu wakati mzalendo w Afrika akiwa hai?

Huyu ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Ana huruma gani na upinzani.
Wewe lini umekuwa mtetezi wa Wapinzani?!
chapelle-charlie-murphy.gif
 
Nape ni mchumia tumbo anayependa kujipendekeza kwa jina la baba yake. Kila siku anaamini baba yake alikuwa mtu muhimu sana.
 
Back
Top Bottom