real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
mkuu umenikumbushia mbali kweli, mambo ya Chondrichthyes na oesteichthyes yalinipa tabu kwenye kukariri spelling zake nikiwa form one, vp wewe upo kwenye issue gani hadi unayakumbuka vizuri hivi aisee au wewe ni ticha wa biology?N'yadikwa,hakuna mahala nimesema pweza ni kononoko.
Nilichosema ni kwamba "pweza anafanana zaidi na konokono kuliko samaki".
In facts, ni kweli pweza anafanana mno na konokono kwa sababu wote ni animalia wanaopatikana katika phylum mollusca.
Wanashare sifa nyingi tu ikiwamo;kuwa na miili laini(soft body),bilaterally symetrical,kuwa na coelom cavity na kadhalika.