Hakuna mtu mwenye kujitambua na mwenye Akili Timamu anayeweza kuishabikia au kuiunga mkono CHADEMA kwa Sasa

Hatukukimbia bali hatukuwa tayari kuwa sehemu sehemu ya wavuruga maoni halali ya wananchi. Sisi hatuhitaji kuaminika na nyie CCM maslahi.
Kwa hiyo mnazani Kuna siku mtapewa nafas ya kujifungua hapo ufipa ili mtutengenezee katiba ya nchi yetu?
 
Mkuu bado hujatoa facts ili kujustify madai yako, naona umelalamika tuu na attacking kwa hao vijana wa CDM. Ni vzr utupe facts na wengine tung'amue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…