Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alikataa ofa ya kuendelea kubeba box ulaya.Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo...
Eti, hata mkude pia.Sadio kanoute anayo mangapi ?
Vipi kuhusu muzamiru a.k.a kiungo punda na wengine wengi...
Bila shaka hapo utakuwa umejisema weweWatz wengi ni wajinga sana, Kiungo mkabaji unahesabu assist au magoli? Nchi yetu tunashida sana maana wapumbavu ni wengi sana......mtu anahangaika kutetea jambo asilo na utaalam nalo...... INASIKITISHA SANA
Sio assist tu hadi magoliKiungo mkabaji, unataka awe na assist. Duh
Kumbe alikuwa kuli afu watu mmejikausha hata hamsemiHuyu Alisha staafu soka, na kuwa ktk kiwanda cha bia, alitimuliwa kisa wizi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti. View attachment 2286647
Alafu aje kucheza yanga ambayo kwenye CAF league hata kwenye makundi haifikiEti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso...
Picha hii ni Video yake, sema nimeshindwa ku upload, nimecheka hadi mbavu zinauma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe alikuwa kuli afu watu mmejikausha hata hamsemi
Hao wengi ni flag fata windSadio kanoute anayo mangapi ?
Vipi kuhusu muzamiru a.k.a kiungo punda na wengine wengi...
😆😆 Sio ana kataa bali kakataliwa huko ULAYAEti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyos...
Labda Ulaya ya buzaEti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli...
Mbumbumbu wa kwanza utakuwa weweNILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
Muelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sanaUsikariri maisha Dogo
Ulaya Kwa ajabu kwako, Kwa wengine sio Kwa ajabu kiviiiiile.
Sasa wewe Kama muandishi wetu na mleta Uzi, umefatilia "kwanini alichemka ulaya" Kama unavyodhani?Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.
Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso.
Halafu waandishi popoma wanafurahia na kupost cjui kacheza Motherwell cjui wap, acheni ujinga, mnaua magazeti yenu kwa kuandika udaku, fuatilieni kwann kachemka ulaya, mtuletee ukweli, sio mnamuogopa GSM kwa sababu ya maslahi yenu.
Narudia hayupo mchezaji wa kukataa ofa ulaya, never on earth. Labda Chico Ushindi.