Hakuna Muafrika anayeweza kukataa ofa Ulaya, Bigirimana kawadanganye wasiokujua

Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo...
Labda alikataa ofa ya kuendelea kubeba box ulaya.
 

Attachments

  • 20220710_115150.jpg
    80.1 KB · Views: 4
Watz wengi ni wajinga sana, Kiungo mkabaji unahesabu assist au magoli? Nchi yetu tunashida sana maana wapumbavu ni wengi sana......mtu anahangaika kutetea jambo asilo na utaalam nalo...... INASIKITISHA SANA
Bila shaka hapo utakuwa umejisema wewe

Central mildfielder ni mkabaji anayeenda mpaka mbele kushambulia

Nafasi anayocheza huyo biringanya ni nafasi ile ile ambayo xavi amekuwa akicheza na wote tunajua uwezo wake wa kufunga

Labda ungeniambia ni deffence mildfielder kwa hoja ya kwamba hawezi kuwa na assist au kufunga at least ningekuelewa
 
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyoso...
Alafu aje kucheza yanga ambayo kwenye CAF league hata kwenye makundi haifiki
 
Sadio kanoute anayo mangapi ?

Vipi kuhusu muzamiru a.k.a kiungo punda na wengine wengi...
Hao wengi ni flag fata wind

Wakishasikia sehemu mtu anasema kiungo mkabaji hatakiwi kufunga nao wanachukua mazima kuja kuleta huku ili kutetea biringanya lao

Majukumu ya central mildfieder ni kuichezesha timu na swala la kukaba ni kiasi sana ila mara nyingi ana enda mbele kusaidia ushambuliaji mfano kama Xavi Henandez

Mkabaji pekee ambaye kufunga na ku assist ni unnessesary ni defense mildfielder tu.
 
NILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
 
Ulaya ipi? Mpaka kosovo nako ulaya, sasa kwenda kucheza kosovo au albania tena daraja la pili si nora bongoland tu
 
We unafikiri Manara alikuwa anadanganya aliposema Yanga wenye akili ni wawili tu?

Na hapo usikute Hers ndo kamwambia aseme hivyo Maana huyo na Manara wamewashika Sana akili Mashabiki wa uto.
 
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli nyos...
😆😆 Sio ana kataa bali kakataliwa huko ULAYA

Ana kuja ktk club ambayo haina hata uwanja wa mazoezi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mh huyu mburundi anafikir robo sanaa
 
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani.

Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno? Bongo kweli...
Labda Ulaya ya buza
 
NILIKUWA SIAMINI SIMBA KUWA NA MASHABIKI MBUMBUMBU, LEO NIMEAMINI.
Kiwango cha Uzuzu mlichoonesha kwenye suala la usajili wa Bigirimana kimewatofautisha hata na mashabiki wa Stand United.
Mbumbumbu wa kwanza utakuwa wewe

Ushawahi kumkanyagia Enonga na kudai Simba wameingia cha kike na siku ambayo watakuja kustuka itakuwa too late

Hii aibu yako utaendelea kuishi nayo
 
Usikariri maisha Dogo

Ulaya Kwa ajabu kwako, Kwa wengine sio Kwa ajabu kiviiiiile.
Muelezee mkia huyo. Anadhani ulaya ni kila kitu. Hajui maisha yalivyo expensive huko hata kama unapata mamilioni, mlolongo wa kodi huwa unaumiza sana
 
Sasa wewe Kama muandishi wetu na mleta Uzi, umefatilia "kwanini alichemka ulaya" Kama unavyodhani?
Au umepost kwa wivu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…