Hakuna muuza mkaa anaesumbuliwa na chuma ulete

Hakuna muuza mkaa anaesumbuliwa na chuma ulete

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Hili suala liko wazi kabisa.

100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete.

Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine miti yote ya dawa tofauti..
 
Mkuu Chuma Ulete ni Uongo Mwingi,

Hakuna kitu kama hicho
 
Dah! Kwa hiyo unawashauri wafanyabiashara wote kuhamia mwenye biashara ya mkaa ili wasipigwe na hao chuma ulete siyo!!
 
Hivi Chuma ulete inafanya kazi nchi masikini tu au na kwenye $ na £ na yen zinapigwa kwa mbinu hizi hizi?

Naombeni mbinu sasa ili na mimi niwe naingia nazo kwa wazungu
Au ni kwa muuza vitumbua tu kahawa ndio wanaibiwa na mama ntilie?
 
Ukweli wa wazi hakuna chuma ulete katika uhalisia, ni ni ile namna ya mwanadamu kutafuta njia rahisi ya kutatua changamoto zake anapo shindwa hutafuta pa kusingizia .

Sijawahi ona fahari na faida yoyote katika umaskini.
 
Mkuu hata mimi huu ujinga huwa siamini kabisa
Hata uchawi ingawa wanasema upo ila siamini
Kama kurogwa naona tumerogwa sana ila kama haukupati ni bahati ila sijawahi kutilia maanani

Napambana kama wengine kwa kufanya kazi kwa bidii na kumuamini Mungu tu

Naona wenzetu wanafanya bidii katika kazi zao na biashara na wanaendelea kwa sababu ya uaminifu na kufanya masaa mengi
 
Kweliii humu ndani kuna majoblesss kibao mtu mweny biashara hawez kuongea hivi na kama akiongea jua bado hayajamkuta
Ukishakuwa low minded dude huwezi kuacha kuamini uchawi kwenye kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom