Ili tendo la ndoa lifanyike ni lazima mwanaume awe active ... Kutokana na hilo mwanaume ndiyo chanzo wa single mothers na likely zinaa.Vyanzo Vya Single Mather
1. kuchagua sana watu Wenye Fedha( Wanawake)
2.Kukosekana kwa Upendo wa Dhati
3. kuvunjika kwa maadili, unaoa mke anasema aridhishwi wakati amefanya mapenzi na wanaume zaidi na wanaojaza uwanja Taifa.
4.Wanawake wajuaji sanam
Kwani kulala na kila mwanamke ndio kubebea mimba?Ili tendo la ndoa lifanyike ni lazima mwanaume awe active ... Kutokana na hilo mwanaume ndiyo chanzo wa single mothers na likely zinaa.
Kama unabisha fanya tafiti ,mwanaume anatka kulala na kila mwanamke anayemuona...Sisi wanaume ukidhibiti tamaa za ngono basi umejipunguzia matatizo.
Kuna dogo hapa kitaa miaka 17 kampa mtu mimba , mtoto mwenzie anawezkana yuko chini ya miaka 17 ila hawezi kuzidi 18 ...Bado dogo hajielewi ni mdogo hata ndoa hatoiweza maana anasoma bado.
''Ili sigara iwake lazima upige pafu, we baba usimtume mtoto ataugua mapafu''Kwani kulala na kila mwanamke ndio kubebea mimba?
Mwanamke ndiye anajua na ni jukumu lake kukwepa ua kubeba.