Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Nyakati ngumu huunda watu wenye nguvu, watu wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda watu dhaifu, na watu dhaifu huunda nyakati ngumu."
by G. Michael Hopf.
Its simple mabibi na mabwana, Wadada wengi wamekuwa VIBURI MTU na TAMAA KAMA ZOTE huku vijana wa kiume wengi wamekuwa "DHAIFU na MOTIVES ZA KIPORNO PORNO KAMA ZOTE"
Sasa either way, mmoja anaweza kuwa stable angalau then mwingine akawa na majanga kama hayo, au wote wakakukatana wa namna hio.
To conclude, tujitahidi tusiwanyime hawa viumbe wadogo malezi bora ya pande mbili kama tuliyopata sisi.