Hakuna Mwanamama mkatoliki ataandamana akiwa amevaa dela

Wakatoliki ninao hapa mtaani .Hakuna wakatoliki wanavaa madera na hakuna wakatoliki ambao kundi kubwa ufahamu limetokea wapi yani wanaimba nyimbo ambazo washazoea kusikia kwa kutojua.

Mimi mwenyewe sio mkatoliki ila hata ukinishtua gafla wakipeleka msalaba kwenye vigango utaelewa wanapita.

Ila CCM na Abdul,siku mtajichanganya hizi propaganda zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…