Huyu jamaa siyo mwanajeshi wa Marekani ni ndugu wa OCD wa Tarime, binamu yake. Acheni kuzuga watu....Amepelekwa mahakama gani kuhukumiwa?Mnatuona watanzania ni wajinga sana. PUMBAVU SANA NINYI POLISI. Mmejaribu sana ila mmeshindwa vibaya.Haya wewe mwenye kinyewe ushashiba umekunya tueleze Venezuela kama samuya na delta force yako ya huyuView attachment 3525725
Hakuna hata mmoja aliyevaa rozari. Wala vile vitenge maarufu vya wakatoliki wanawake vyenye chapa ya WAWATA.Wakatoliki ninao hapa mtaani .Hakuna wakatoliki wanavaa madera na hakuna wakatoliki ambao kundi kubwa ufahamu limetokea wapi yani wanaimba nyimbo ambazo washazoea kusikia kwa kutojua.
Mimi mwenyewe sio mkatoliki ila hata ukinishtua gafla wakipeleka msalaba kwenye vigango utaelewa wanapita.
Ila CCM na Abdul,siku mtajichanganya hizi propaganda zenu.
wajichanganye mara ngapi?Wakatoliki ninao hapa mtaani .Hakuna wakatoliki wanavaa madera na hakuna wakatoliki ambao kundi kubwa ufahamu limetokea wapi yani wanaimba nyimbo ambazo washazoea kusikia kwa kutojua.
Mimi mwenyewe sio mkatoliki ila hata ukinishtua gafla wakipeleka msalaba kwenye vigango utaelewa wanapita.
Ila CCM na Abdul,siku mtajichanganya hizi propaganda zenu.
wewe mbulula kaa kushotowew shekhe ubwabwa. Hiyo sio hijabu ni mtandio hao akina mama.
Na hao wenye nguo nyeupe ni masister. Ata vaa yao ni tofaut