Hakuna Mwanamama mkatoliki ataandamana akiwa amevaa dela

Hao ni waislam waliokusanywa na wale mashekhe ubwabwa, wakafundishwa wajifanye wakatoliki, lakini hata akili tu ya kuiga, kama walivyo mashekhe wao ubwabwa, na wao hawana akili za kuwatosha. Wamefanya maigizo hata mwenye akili ya kawaida anagundua kiurahisi kuwa siyo wakatoliki, na sio wakristo.

Mwgulu kwa kweli ana IQ ndogo sana. Eti hapa kwa kutengeneza hili tukio fake anajiona ametumia akili kwa upeo wake wa mwisho!!
 
Wameshindwa hata kuchukua kitenge Cha wawata, t-shirt ya ycs au hata kanga ya mwaka wa jubilei, ama kweli Mungu akitaka kukuanika, anafunga Kila mlango
 
Mbona mnaweweseka hivi
Hizi mada haziishi
Tulieni dawa ifanye kazi
dawa iingie wapi wakat mnajitekenya na kujichekesha wenyew tu.
mnaopambana nao hawana hata papara wanawaona kama matahira tu.
 
Wanasali parokia gani, wapo jumuiya gani

Sometimes catholics they are very smart asee, huwezi kujimix nao kuna kakipengele utapelea tuu
hapo akiitwa mmoja mmoja aulize jumuliya yake na katekista wake wa mtaa utaona wanavojiona maboya hawajajipanga.

Uwaambie wasari na sara ya MT. MICHAEL watapotea wote
 
Wahuni sio watu wamewaokota watu kadhaa wakawaambia fanyeni hivi ishu yeyote ya maandano tunaona Wanajeshi bara barani hayo maandamano yameruhusiwa sio na ulinzi juu Nchi ina watu wahuni sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…