Hakuna Mwanamama mkatoliki ataandamana akiwa amevaa dela

Haya maigizo yamenichekesha sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Sijui nani huwa anatunga hizi comedy
 
Haya wewe mwenye kinyewe ushashiba umekunya tueleze Venezuela kama samuya na delta force yako ya huyuView attachment 3525725
Huyu jamaa siyo mwanajeshi wa Marekani ni ndugu wa OCD wa Tarime, binamu yake. Acheni kuzuga watu....Amepelekwa mahakama gani kuhukumiwa?Mnatuona watanzania ni wajinga sana. PUMBAVU SANA NINYI POLISI. Mmejaribu sana ila mmeshindwa vibaya.
 
Hayo madera si ajabu na ndani ni chupi tu!!

Walichofanya ni kuthibitisha kauli ya Askofu kuwa ni malofa Pro Max!
 
Hakuna hata mmoja aliyevaa rozari. Wala vile vitenge maarufu vya wakatoliki wanawake vyenye chapa ya WAWATA.
 
wajichanganye mara ngapi?
 
Yule anayeimbisha; angetokea mtu amwanzishie ile sara; ''salamu malia......'' ndio ungeona kichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…