Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Daaah yaani dactar wewe unataka watu tusifaidi tuu nakusoma toka mwanzo ujueMungu fundi. Kwenye utamu akaweka magonjwa. Jichanganye kwa utamu wa sekunde kadhaa, utakugharimu maisha yako yote.
Rhythm ni muhimu sana kuijua. Kuna wanawake kufika orgasm wanakata moto. Sasa angalia kesi ya mauaji ya kutokukusudia ikakunasa.
Bahati mbaya sana awe mchepuko, ee Mola epushia mbali.