Ni mwanaume mpumbavu tu ambaye atajisifi kumwomba tigo mdada na kukubaliwa, hiyo syo sifa nzuri, ukweli ni kuwa bila wanaume kuomba hii michezo, isingefanyika.... Mwanaume unatakiwa kutambua kuwa kimaumbile ya asili (mwanamke no dhaifu), na kwamba kama ambavyo tumeumbwa, mwanaume ndye humshawishi (kumlaghai) mwanamke ili amkubalie kuwa naye ktk mahusiano, amkubalie kufunga naye ndoa, amkubali kufanya naye sex n.k
Kwa hiyo kwa asili, mwanaume unaweza kutumia lugha ya kila aina kumwomba mwanamke akufanyie jambo fulani... sasa unavyogeuza asili kutenda dhambi, SIYO SIFA.... hvyo syo jambo la kujisifu mqanaume kumwomba tigo mwanamke, na binafsi ninaamini, mwanamke anayeshiwa na mwanaume kufanya kinyume na maumbile, dhambi yake ni ndogo kuliko mwanaume anayeshawishi... wanaume mkiacha kuomba tigo mchezo huu unakufa kibudu