Dah kuna kisa kizito kimetokea hapa wadada MJIFUNZE , kwa kawaida huwa napenda sana kuperuzi peruzi mitandaoni hata huko fb nipo sana tu,
Basi juzi kati hapa nikaona mdada amekuja kwa inbox yangu kunisalimu safi kisha akanitumia picha ya mjamaa kuniuliza kama namfahamu,
Kiukweli yule jamaa sikumfahamu ila nae alikua miongoni mwa marafiki zangu tu fb basi ,ndipo akanipa kisa ,
Jamaa alikua anatembea na mdogo wake na huyo dada ni binti wa miaka 20 hivi ,
Basi kumbe jamaa alimdanganya yule binti kuwa ili amuoe ampe Mkun$u
Basi ikawa ndio mchezo wao siku zote mpaka dogo akaharibika kabisaa ,
Kwa madai yake hata ukitia vidole vitatu huko chini vinapita vyote bila mkwamo,
Ilikuja kujulikana baada ya yule binti kuumwa bawasiri na kuanza kutoa damu mkund^n ikabidi apelekwe hospitali ,ndipo katika matibabu dokta akaona dogo kaharibiwa sana sana
Hata hiyo bawasiri imetokana na kulawitiwa kwa fujo, ndipo wazazi hoi kwa presha kuja kumbana ndipo akamtaja jamaa ,
Kumbe jamaa mwenyewe alipoona kashamuharibu kabisa akamuacha na kumwambia kabisa kashapata mwanamke wa kumuona yeye aolewe tu
Yule binti alipomueleza jinsi alivyomuharibu akadai amsamehe tu hata yeye anajuta.
Familia mpaka sasa inamsaka jamaa ukiangalia jamaa katoweka namba hapatikani ,kwake hapajulikani yani kapotea kabisa
Dogo bado anajiuguza
Nb, hiki sio kisa cha kutunga wala hadithi ni ukweli kabisaaa hivyo angalieni sana enyi kizazi cha nyoka, utaharibiwa na utakimbiwa akaoe mwingine