Hakuna mwanamke wife material ukiona ametulia ujue amekupata na anasubiria kujipata ili ujipasue akili

Hakuna mwanamke wife material ukiona ametulia ujue amekupata na anasubiria kujipata ili ujipasue akili

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana.

Akijipata ndio utajua kwanini Yesu yuko mbinguni ila shetani katulia kimpango wake toka enzi hapa duniani.

Tuendelee n tafakari.

Time never lies

Wadiz
 
Mkuu Wadiz ,Me nimejiokotea hiyo mama inanielewa kinyama.....yan mwaka huu napeleka mahari niichukue jumla
 
Wadiz wewe ndio wale washkaji wa vijiweni au ofisini kila mwanamke akipita umegonga.
Kuna personification tunazitumia humu kf ila hii yako yaa wanawake muda wote kuwajua sana inawezekana unapitia mazito ndugu, achana naayo.
 
Sio kweli japo kuna kaukweli ndani yake. Ata shetani alikuwa malaika, lakini sio malaika wote walikuja kuwa mashetani.
Kuna watu asili zao zipo deactivated zinasubiria vichochezi vya kuzifanya viwe active. Vichochezi vinaweza kuwa pesa, nyadhifa,marafiki nk. Na wapo ambao wao uishi uhalisia wao. Wao ata wajipate vipi hawawezi enda nje ya nafasi yao ya mke na mama wa familia ndani ya ndoa zao. Na hii sio kwa wanawake tu bali ata wanaume pia
 
Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana.

Akijipata ndio utajua kwanini Yesu yuko mbinguni ila shetani katulia kimpango wake toka enzi hapa duniani.

Tuendelee n tafakari.

Time never lies

Wadiz
Pole sana kwa kuzani kila mtu anapata tabu.
 
Back
Top Bottom