watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Hii sio meme, ndio hali halisi, Kama hata Singida walishinda 3 tena kwa huruma ya Refa kupunguza magoli, jambo la msingi ni kuwaombe Yanga washikilie msimamo wao "HATUCHEZI" vinginevyo kuna aibu
- Kombe la CAF shirikisho ❌
- Kombe la FA ❌
- Kombe la ngao ya Hisani ❌
- Kombe la mapinduzi ❌
- Kombe la muungano ❌