Hakuna mwanaSimba anayeombea Yanga wacheze 15 Juni, wakicheza kuna hatari kubwa ya kumaliza msimu bila kombe lolote

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Hii sio meme, ndio hali halisi, Kama hata Singida walishinda 3 tena kwa huruma ya Refa kupunguza magoli, jambo la msingi ni kuwaombe Yanga washikilie msimamo wao "HATUCHEZI" vinginevyo kuna aibu
  • Kombe la CAF shirikisho ❌
  • Kombe la FA ❌
  • Kombe la ngao ya Hisani ❌
  • Kombe la mapinduzi ❌
  • Kombe la muungano ❌
Vipigo vinne mfululizo, wakicheza wakishinda itakuwa mara ya tano mfululizo, AIBU !!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…