Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Wanawake ni supernatural😂😂
Unakuta anapika, huku ananyonyesha mtoto hapo hapo kichwani anakuundia risala kama zile hotuba za hitler😂...
Wanawake hubishana kulingana na hisia. Wanaume hubishana kwa kuzingatia mantiki.
Usiingie kwenye mtego wa kugombana na mwanamke yani utapoteza hata kabla hujaanza.
Ukimshinda yeye anahuzunika kwa bahati mbaya umeshindwa tayari. Ukishindwa wewe, umeshindwa na haimuhusu kushindwa kwako.
Hakuna faida ya kubishana naye.
Sikiliza, lakini usibishane
Lakini all in all women ni very special