Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Sawa Dada Jenifa Cruel.Mimi ni zaidi ya baba yako,kuwa na heshima binti
Mbona Hanna furaha, yule mliye muua kafa, lakini bado mioyo yenu inatapatapa.Wasukuma walituharibia sana nchi yetu. Wazee walidharirishwa sana, vijana tulibambikiwa kesi za kumtukana jiwe. Yaani mambo yalikuwa hovyo kabisa.
Tunaomba Mungu mbali na kutukomboa lakini wale waliohisika wakamatwe.
Hii hata Sabaya katika utetezi wake anasema alikuwa anatumwa na yule muovu shetani.
Unikumbuke nami niwe japo dreva wako😂😂😂😂Hahahah nafikiri mama atanifikiria kwenye uspika😅
Nani kasema?Kace
Kikwete ni Msomali?
CCM inawenyewe...!!Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Wahuni?Wenyewe si ndio kina Nape na Co.
Mzee mohamed said mpe somo huyu kuna mtu kaianzisha Tanzania!?Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Wapoloo hao😅Wahuni?
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote basi tulieni muone kitatokea.
Mhe.Mbowe siyo gaidi.Umenuna? Bora akina Nape kuliko watekaji.
Wanafuata utaratibu wa St Petersburg na Pyongyang.Hiki chama mwanzoni tuliaminishwa kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi!
Ila kwa awamu kadhaa sasa kimeingia kwenye mikono ya watekaji wabaya na makatili kupitiliza.
Watekaji wa kwanza walikuwa ni matajiri na wafanyabiashara wakubwa (akina Rostam Aziz, Lowasa, and Co. Ltd), Baadaye wakaja Sukuma Gang wakishirikiana kwa ukaribu na Mataga na waimba mapambio! Na kwa sasa chama kipo mikonono mwa Wakojan na Msoga Gang!!
Yaani ni bandika bandua! Hatupewi kabisa wasaa wa kupumzika! Na hawa watekaji wote wapo kwa ajili ya maslahi yao tu! Na siyo kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Katiba Mpya ya Wananchi kwa sasa haikwepeki.
Mbowe sio Gaidi. Dunia inajua watanzania wanajuaMhe.Mbowe siyo gaidi.