hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Watanzania tuko zaidi ya ml 60
Wa makabila,Imani na itikadi tofauti
Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao pekee Yao ndo Wana uhalali na uwezo wa kuamua hatima yetu kama watu na kama Taifa
Wanasiasa Watambue kuwa wao ni kasehemu kadogo sana katika jamii,wapitie idadi ya wanaxhama Hai katika vyama vyao vyote walinganishe na jumla ya idadi ya watz wote.
Tuheshimiane,tuweke utaifa,uzalendo mbele lakini pia tuheshimu sheria na katiba yetu.Maana pasipo katiba hakuna mamlaka na pasipo utawala wa sheria hakuna ustawi wa kiuchumi,kijamii na kisiasa