Hakuna mwenye mbio kama huyu✔

Hakuna mwenye mbio kama huyu✔

Hahahaha dah! Ww ni noma. Kichwa cha thread yako kilimifanya nijiandae kisaikolojia kupokea nondo kumbe ww mwenyewe huyajui!!
 
Hata mvua ikianza kunyesha huku wakiwa wamevaa mawigi... Wanatimua mbio za ajabu...

Ndiyo uwe umempa lifti mwanamke, ukamfikisha pale anaposhukaga alafu mvua ikaanza kunyesha... Hata umpe rain coat hashuki...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom