Hakuna mzalendo anayepisha mafisadi!

Hakuna mzalendo anayepisha mafisadi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nimesikia watu wakisema kwamba eti Dr Mpango ni mzalendo lakini cha ajabu yeye mwenyewe anasema tatizo ni umri sio ufisadi.

Yeye mwenyewe hajawahi kukemea lolote kwa miaka yake . Hajawahi kupigania katiba wala uwazi.

Sasa uzalendo wake uko wapi?. Kama yeye ni mzalendo basi ni uzalendo bubu na tuache propaganda za kijinga na kutunga
 
Acha ukuda kapambane nao wewe unadhani kupambana na mafisadi ni kama kuandika uzi hapa JF?
 
Back
Top Bottom