Nimesikia watu wakisema kwamba eti Dr Mpango ni mzalendo lakini cha ajabu yeye mwenyewe anasema tatizo ni umri sio ufisadi.
Yeye mwenyewe hajawahi kukemea lolote kwa miaka yake . Hajawahi kupigania katiba wala uwazi.
Sasa uzalendo wake uko wapi?. Kama yeye ni mzalendo basi ni uzalendo bubu na tuache propaganda za kijinga na kutunga