Hakuna mzigo mgumu kuubeba kama huu!!

Hakuna mzigo mgumu kuubeba kama huu!!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Furushi la nyege ni sawa na kubeba gunia la misumari inayokuchoma mabegani au unaweza kusema ni sawa nakutembea na mkongojo wa muwa anytime anyplace you can nyamnyam!😂

Wale wa no fap mlifika wapi? Kama ni mbio nafikiri zilikuwa ni mbio fupi kuliko.

Hamu inakaba, mwili unataka, akili haitulii, kazi haiendi, hakuna haki penye hamu!

Hili furushi ni kubwa kuliko.😅
 
Back
Top Bottom