Hakuna mzigo mgumu kuubeba kama huu!!

Hakuna mzigo mgumu kuubeba kama huu!!

Upwiru unakaba koo kudadadeq🤣!!! Ukifanya masihara unaweza ukamvuta beyonce kupitia kipande cha jamaa. Aisee huo ugonjwa ulintesa sana in my early 20s ila sahizi naona tatizo limepungua sana. Mwani sio ishu!
 
Unaambiwa Mike Tyson alikaa miaka 5 bila kungonoka Wala kupiga nyeto🤔🤔

Hii habari imekaa kimaghumashi Sana.
 
Back
Top Bottom