Waziri Mpango na Rais wanabisha kwamba hali ya kiuchumi ni mbaya, wanaodai kuna ukata ni wapiga dili waziri profesa anasema, lakini hajasema kwa utaalam wake hali nzuri iliyopo ameipima vipi au inapimwaje?
hivi hali ya hela kupungua kwenye mzunguko inaitwaje kitaalam/kichumi?
ili na sisi tunapoikosoa serikali tuongee kiweledi na wao wabishe kiweledi.
je, kuna recession? yani two consecutive quarters of negative growth?
na hali hiyo imesababishwa na nini kilichothibitishwa, kinachopimika, GDP imeshuka? interest rates zimepanda? shilingi imeshuka? inflation imepanda? unemployment imepanda, bei ya mafuta imepanda? kuna mtu amenyimwa mkopo benki haina hela?
hela hakuna mitaani, nani kasema? mtaalam gani? mitaani hakuna okay, vipi viwanda, mabenki, serikali, na zenyewe hazina pesa zimesema?
kitaalam kuna nini nchini?