Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Tunamuongelea natural mamba 6 ambaye yupo static kwenye namba yake hayo ya fabregas hayaa saiidii kwenye huu Uzi
Ngoja nikuulize basi point yako ni ipi katika hayo maelezo yako?
We umekataa kwa kusema kama xabi ni 6 nzur mbona timu ya taifa alichezeshwa mido ya juu, busquet akacheza nafas yake c ndio, mie ndio nmekujib inategemeana na coach anahitaji nin kwenye game kupangwa position hyo haimaanishi kwamba xabi si namba 6 mzur, ndio maana nkakwambia mbona fabregas alicheza 9 je torres si namba 9 nzur, ama fabregas ni 9 nzur kumzid torres!!??

Kumpanga alonso namba 8 busquet 6 ujue kuna kitu alikuwa anakitaka, au alonso anapiga namba 8 vzru kuliko ambavyo busquet anacheza so akaona alonso akae hapo ila haimaanishi kuwa busquet ni bora zaid ya alonso
 
Sasa kama kocha anawajua wote anamuacha huyu sita na huyo anampanga namba nyingne si ni uthibitisho tosha kua Segio ni zaidi ya Alonzo kwenye namba sita?
Je km kaona uwezo wa alonso kwenye 6 na 8 ni sawa halaf busquet anaiweza 6 tu 8 hawez ulitegemea afosi alonso kucheza 6 na busquet 8 ambayo haiwez!!??
 
Sasa kama kocha anawajua wote anamuacha huyu sita na huyo anampanga namba nyingne si ni uthibitisho tosha kua Segio ni zaidi ya Alonzo kwenye namba sita?

Mbona Spain word cup 2014 alichezeshwa pengine ili kumpisha Sergio dimbani
Mnaweza kutaja fomation aliyokuwa anatumia vicente, niwaelekeze kituu..

Unajua km timu inaweza kucheza pia na cdm wawili kwa wakati mmoja.. alonso alikuwa anafanya kazi mbili kwa wakat mmoja kukaba na kushambulia, alikuwa anapunguza kasi ya maadui, wakat pia anashambulia, kimsingi alonso alikuwa mkabaji sababu juu yake alikuwepo xav na iniest.. hawa ndio walikuwa waunda mashambuliz na msingi wa mashambuliz ga timu nzima.. ufaransa waishawah kucheza na makelele na viera hawa kimsing wote ni 6 ila viera alikuwa anapiga kazi mbili kwa wakat mmoja kukaba na kushambulia kidogo sababu juu yao alikuwepo zidane anaratibu mipango miji yoote.. ac milan waishamtumia gatusso na pirlo at the same time ancelloti alikuwa anawapanga ana maana yake cz juu anawatumia kaka na seedorf kuratibu mipango ya mashambulizi.
 
Kwann isimaanishe ni bora wakati kamsogeza mtu mbele
 
Sijaikataa hyo role nnachotaka kumuonesha coach anapompanga mtu sehem ni jinsi anavyohtaji game plan yake iwe, unaweza ukashangaa alonso akacheza nne ujue kuna kitu coach anatafuta..
Sio kitu coach anatafuta jua kwenye namba yake kuna mtu bora na sahihi
 
Pirlo hajawah kucheza sita acha uongo kumbe mpira hujui broh
 
Hoja zimesha ndyo maana unasema pirlo 6 Cjui Gatuso,Vidal,Marchisio walikuwa wanacheza ngap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maama nikasema uwezo wako wa soka dhaifu, kwa taarifa yako mara kadhaa pirlo kacheza chin, inategemea kocha anahitaji nin, game plan yake ni ipi, euro 2012 spain wanachukua lile kombe pirlo alikuwa anacheza deep, nakumbuka ile fainali baada ya kuzidiwa kati kocha wa italy cesare prendelli akamtoa ricardo montolivo aliyekuwa anapiga attack midfilder akamuingiza thiago motta ili akapige 6 then pirlo aende juu, bahat mbaya thiago motta akaumia msuli n km we umecheza kweli mpira lazima unue msuli hauna tiba pale uwanjan ukikushika ww ndio basi, ikapelekea wachez pungufu sababu ilikuwa sub ya mwisho, wakapigwa 2 za nyongeza game imeisha wamekula 4.. formation walipiga 4-1-3-2.. na mjomba pirlo akapiga as a DM saaa sijui unabishia nin tena hao marchisio wako walikuwepo, tena nini marchisio kuna mjomba mtoto wa roma born here here de rossi tena huyu mkabaji kuliko huyo marchisio wako nae alikuwepo lakin Dm ikawa ya mjomba pirlo, juu hake kuna marchisio, de rossi na montolivo, striker akipiga cassano na balotteli..

Haya turud ac milan yako wakat yupo na mjomba gattusso tena hawa nakumbuka walikuwa wanatumia formation ya 4-4-2 diamond... siikumbuki km ilikuwa ni diamond wide ama lah, sasa sijui km nikikutajia 4 4 2 diamond km unaelewa, pirlo kapiga chin kushoto seeedof, kulia gattuso juu kaka.. katika hyo diamond , kabla ya kaka kulikuwa kuna mtu anaitwa rui costa portugese machine hyo mdogo wangu hatar..

So pirlo kapiga sana dm.. sio kila mtu akipiga 6 lazima apiga kwanja sijui mazaga zaga gani, watu wanakuwa wanamkabia tokea huko juu, anakuwa yeye ndio msing wa timu kwenye kuanzisha mashambulizi, sababu ya vision yake, quality ya pass zake na creativity yake.. fuatilia kwanza soka ndio ubishane ndugu yangu..

[emoji57] [emoji57] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

sent using my nokia ya tochi
 
Nyongeza ndogo.. na sijuj kama ulibahatisha kumtizama marco senna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…