Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Kante ni kiungo mzuri lakn anakosa ubunifu ndyo maana sometimes France national team anakaa bench
Hakai bench kwa kuwa hawez lahasha, didier deschamps amekosa njia sahihi ya kuwatumia pogba,matuid na kante kwa pamoja.. wakicheza hawa wanapoteana kabisa kama ushawahi kuzichunguza game zao vzur hata hii euro iliyofanyika kwao.. game alizocheza kante walipoteana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sergio anafaa sana kwenye timu inayo hold mpira lakin c kushambuliwa utamkimbia huyu jamaa, kilichompa jeur barca ni uwepo wa xavi na iniesta kipindi kile... ila sidhan km anasogea hata kwa yule carrick kwenye ubora wake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
103b72a9b0328d7f173b15ded5ed32cb.jpg
Hapo alipofika mchango wa sergio ni 70 percent
 
Sipingani nawe sababu kila mtu na jicho lake kweli busquets ni bonge la mido ya chin ila naamin xabi alonso ni bora zaid ya mtoto huyo wa catalan... same to michael carrick kwenye ubora wake, kuna mtu pia wakuitwa ander herrera huyu ni hatar.. watizame kwa jicho la 3 hao utagundua kitu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso alikuwa anasogezwa 8 ili busquets acheze 6 kwasababu anaimudu kuliko alonso sasa hao wengne uliowataja ni kichefu chefu
 
Sergio anafaa sana kwenye timu inayo hold mpira lakin c kushambuliwa utamkimbia huyu jamaa, kilichompa jeur barca ni uwepo wa xavi na iniesta kipindi kile... ila sidhan km anasogea hata kwa yule carrick kwenye ubora wake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyoandika hivi nikaprove kwamba uwezo wako wa kufikir ni mdgo hao watu wamekutana mara ngap hebu tupe statistics
 
Alonso alikuwa anasogezwa 8 ili busquets acheze 6 kwasababu anaimudu kuliko alonso sasa hao wengne uliowataja ni kichefu chefu
Hapo ndipo unapofeli kucheza 6 haimaanishi km anaimudu kuliko alonso bali inategemea na coach anahtaji amtumke vipi mchezaj, yaan anamuoffer nn coach so ukifanya comparison ya namna hyo unafeli, kila coach ana matumiz yake ana game plan yake, usishangae fabregas akatumika as namba 7, wenger aishawah kumtumia hvyo, javi martinez kuwa centre back haimaanish 6 haiwez, kuna vtu coach anakuwa anavhtaji, ushawah kuishuhudia namba 6 ya pirlo wewe... carrick unaweza ukamuita kichefu chefu ni mawazo yako dhambi kukupinga, nakuwa sijakuheshimu ila tungekuwa tunarudisha miaka nyuma tungerewind kidogo upatd kumuona huyu jamaa, tena uzur wanacheza mpira unaofanana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyoandika hivi nikaprove kwamba uwezo wako wa kufikir ni mdgo hao watu wamekutana mara ngap hebu tupe statistics
Sikushangai wewe kuniona mimi nauwezo mdogo wa kufkir, ntakuwa mjinga kukushangaa labda akili yako ndio ilipofkia mwisho kufkiri ni kutusi anyway mie situs twende point kwa pointi..

Si lazma wakutane ndio tujue nani mkali, kuna game wilshere alipiga mpira mwing akawapoteza xavi,busquet na iniesta kwa pamoja so unataka kuniaminisha wilshere ni bora zaid yao!? wamekutana mara chache sana katika career zao, tuangalie tu mtu jinsi kila mtu anavyocheza, kiwango chake kwa ujumla..

Nakubaliana nawe kiwa busquet ni mmoja kati ya namba 6 chache zilizopo kwa sasa, ila sio ndio best kwamba hayupo n wala hajawah kutokea kama yeye.. mtu kama mourinho ukimpa namba 6 busquet ataishia wa 12 kwenye ligi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thiago ametokea wap na wakati yupo mdgo kina sergio ndyo wamempa inspiration
Hahaa.. sasa hyo haitoshi kusema kiwa 70% ya kiwango cha thiago ni sergio, hv unaijua vizur asilimia 70 kweli mr sergio5, guardiola atakuwa na ngap sasa.

Kucheza timu moja haimaanishi ndio busquet kachangia 70% hyo si sababu nipe proof nyingine, vip kina iniest, xavi hao je si walicheza nae timu moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo unapofeli kucheza 6 haimaanishi km anaimudu kuliko alonso bali inategemea na coach anahtaji amtumke vipi mchezaj, yaan anamuoffer nn coach so ukifanya comparison ya namna hyo unafeli, kila coach ana matumiz yake ana game plan yake, usishangae fabregas akatumika as namba 7, wenger aishawah kumtumia hvyo, javi martinez kuwa centre back haimaanish 6 haiwez, kuna vtu coach anakuwa anavhtaji, ushawah kuishuhudia namba 6 ya pirlo wewe... carrick unaweza ukamuita kichefu chefu ni mawazo yako dhambi kukupinga, nakuwa sijakuheshimu ila tungekuwa tunarudisha miaka nyuma tungerewind kidogo upatd kumuona huyu jamaa, tena uzur wanacheza mpira unaofanana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unitajie mechi pirlo aliyocheza 6 wakiti yupo Ac milan Gatuso alimkabia Juve martchisio na Vidal walimkabia kumbe nabishana na kilaza kbsa sasa kma mtu unahamishwa natural position yako inamaanisha huna competence na hyo namba na unatolewa ili kuwapisha wenye uwezo wacheze tumia kichwa kufikir sio kufugia nywele
 
Sikushangai wewe kuniona mimi nauwezo mdogo wa kufkir, ntakuwa mjinga kukushangaa labda akili yako ndio ilipofkia mwisho kufkiri ni kutusi anyway mie situs twende point kwa pointi..

Si lazma wakutane ndio tujue nani mkali, kuna game wilshere alipiga mpira mwing akawapoteza xavi,busquet na iniesta kwa pamoja so unataka kuniaminisha wilshere ni bora zaid yao!? wamekutana mara chache sana katika career zao, tuangalie tu mtu jinsi kila mtu anavyocheza, kiwango chake kwa ujumla..

Nakubaliana nawe kiwa busquet ni mmoja kati ya namba 6 chache zilizopo kwa sasa, ila sio ndio best kwamba hayupo n wala hajawah kutokea kama yeye.. mtu kama mourinho ukimpa namba 6 busquet ataishia wa 12 kwenye ligi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua ww ni shabik wa Manchester united na sifa ya mashabiki wa hyo timu yenu ni kujitoa ufahamu kujifanya wajinga kwaiyo sikulaumu
 
Mimi nafatilia uchambuzi wa kila mara umu, nilichogundua uyo mtoa post (Sergio 5) anachokiamini yeye ni kua Sergio ndo namba 6 bora duniani ata mkimletea mfano wa mtu gani hatokubali. Acheni kupoteza muda kubadilisha mtu anachokiamini.

Mie nnachokijua mifumo imebadilisha sana majukumu ya wachezaji. Kwa timu zinazochezesha DMF wawili n rahic kukaba na kuchukua mipira, ukija kwa timu zinazochezesha mmoja mfano kama Barca & Real tunaona uwezo wa zile no. 6 zao znavyopga kazi.

Ila kwa sasa mtu huwezi sema flani ni bora kuliko mwingine bila kutoa statistics muhimu. Mfano ukisema Sergio ni mzuri kuliko casemiro sema kwa nn n mzur. Labda ana goli ngapi, assist ngapi, error leads to goal ngapi, pass ngapi, average rating zao kwa msimu mzima, n.k.

Hayo ni mawazo yangu tu na mie sio mtaalam sana wa mpira ila game inapoisha kuna vitu zaidi tunavi google ili kujifunza zaidi.
 
Back
Top Bottom