inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
waulize pedro,klopp na guardiola wanaijuaUnakosea ligi ya wanaume ndio ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waulize pedro,klopp na guardiola wanaijuaUnakosea ligi ya wanaume ndio ipi?
Akili zako umeshikiwa
Unafikira potofu na za wanywa kahawa he hao uliowataja walipokutana na fundi walifanywaje?Hvi King Arturo unamuonaje onaje labda?!! Au Marco Verrati unamchukuliaje?!! Namba sita anatakiwa mtu wa shughuli kwel kwel. Huyo Busquetes cjui kinachombeba ni mfumo wa Barca hamna kingine. Aje EPL uone atakavyopoteana. LiArturo Vidal lmekichafua Luverkusen, lkakichafua knyama Juve, shughuli anayoifanya Buyern kma wewe ni mfuatiliaji wa mpira hutobisha....
Verrati ssa huyu sura yake haiendani na mpira anaoucheza. Anacheza vyote (jihad na soft)
Una akili za kizamani sanaKwangu mm #6 bora wa wakati wote Claude Makelele
Casemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Duh..bakayako na casemiro mwaka huu wote wamekutana na huyo jamaa na timu zao zilichapwa tena kama casemiro ndyo hana ata vision ya nn anatakiwa kukifanya uwanjan ndyo maana el clasico alitolewa kuepuka adhabu
Hakuna kama Sergio ndyo muhimili wa Barca yule hawawezi kumuuza hata kwa dawa sidhani kama wataweza kuruhusu kosa walilolifanya la kumuuza Dan Alves lijirudie.Nashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6.
Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder. Kusema kweli Sergio Busqet ni kiungo mkabaji pengine wa muda wote sema hapewi sifa zake na wadau wa soka.
Najua mtashangaa, kwakuwa wengi mmekariri kuona namba sita akiwa na sifa ya kupiga makwanja (tackling) lakini kwa Sergio habari ni tofauti yeye anajua sana kukaba nafasi na kufanya interception huku akiwa na jicho la ziada la kuanzisha mashambulizi yenye akili. Kwakifupi huyu ndio muhimili wa Barca na Timu ya taifa ya Spain.
Ifikie muda tuanze kutambua mchango mkubwa wa Sergio hasa wakati huu ambao akina Messi na Neymar wakiongezewa mikataba minono kuliko Busqet.
Ningefurahi kama siku moja Mou au Guardiola wakimleta EPL Sergio Busquet, mmoja kati ya wachezaji wasiopewa heshima na sifa zake!
Nenda kaangalie review za mechi za man city Vs barca uone uyo jamaa wako alivyokuwa anakimbiza kivuli cha super SergioKuna jamaa anaitwa Fernandinho yupo Man City jamaa ni ana kaba utasema kesho haipo tena.
Sema tu kwakuwa sio mtu wa mbwembwe na majivuno ndio maana hazungumzwi.
Uyo nmecheza nae na nmempoteza game ya neighbours fc Vs talent ya urongoni uwanja wa mongora ndege shule kwaiyo huyo kwangu tu hakutamba kwaiyo acha kuongea pumba
No 6 wengi wanaasili ya ukimya sana nje ya uwanja mfano scholes,mzamir yasin...hii pia inapelekea kutokupata heshima wanazostahili...Kuna jamaa anaitwa Fernandinho yupo Man City jamaa ni ana kaba utasema kesho haipo tena.
Sema tu kwakuwa sio mtu wa mbwembwe na majivuno ndio maana hazungumzwi.
Labda Scholes wa huko kwenu Manzese ndio aliwahi kucheza namba 6 ( kiungo wa kukaba ).No 6 wengi wanaasili ya ukimya sana nje ya uwanja mfano scholes,mzamir yasin...hii pia inapelekea kutokupata heshima wanazostahili...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa kuona mtu anasema Paul ni namba 6Labda Scholes wa huko kwenu Manzese ndio aliwahi kucheza namba 6 ( kiungo wa kukaba ).
Kuna holding midfielder na defencing midfielder.. naona hao wametofautiana katika hilo.. inategemea na kocha anahitaji nin mtu km mourinho hawez kwenda sawa na sergio.Jamaa anakaba sana lakn hana creativity kama Sergio kama unataka kuamin mcheki Sergio anavyofanya ata umpempira amekabwa hapotezi alfu anapiga passi za ajabu na za hatari zile pass zinaitwa killer pass