Anzisha thread yako ya kuwalinganishaLukaku na Morata je?
Hiv mtu mzima mwenye akili timamu unajisikiaje kuuliza swali unalojua jibu lake?Unapoulizwa swali unajibu swali kwanza ndio unauliza! Bado hujajibu swali!!
Bado hujajibu swali!! Jibu swali mkuu!!Hiv mtu mzima mwenye akili timamu unajisikiaje kuuliza swali unalojua jibu lake?
Anzisha thread yako ya kuwalinganisha
Mkuu acha utani, nimecheka sana!Nje ya Barcelona na Spain huyo busquets hana tofauti na hamisi tambwe.
Amecheza stakhishari FcBado hujajibu swali!! Jibu swali mkuu!!
Mbona ukawa unazunguka kama msichana mkuu!! Si ungejibu tu!!Amecheza stakhishari Fc
Leo nimeamin kuna baadhi ya mashabiki wa Madrid ni vilaza kama ww
Bado ni mchanga sana kwenye ushabiki huyu!!Mimi sio wa Madrid ila naona kama unatumia hasira sana kujibizana na wapenda soka wenzio. Ujue mdau anaweza kukujibu kwa utani tuu so pima kiaina na sio kujibu makavuu. Huwa hurushi ngumi kweli wakati wa games?????
Hapo anacheza singeli ama?Namba 6 kama namba 6 kweli, bila ushabiki, hakunaga kama machine hii hapa
View attachment 538443 View attachment 538443
HahahahahahaAcha masihara 35 wakati pep aliweka 50 zikakataliwa au unafikir Sergio ni kma carric cio?
Madrid imetokea wapi kwenye huu uzi??Leo nimeamin kuna baadhi ya mashabiki wa Madrid ni vilaza kama ww
Hususani Casemiro, ndio maana hata Pepe aliwakuwa akimchezesha Namba 6. Anapenda watu wa kukanyaga.1.Sergio busquets hawana mpango wa kumuuza
2.anathaminika sana barcelona ndo maana anacheza kila msimu bila kua na sub.
3.pia sergio anafaa mifumo flani. Yule sii mpiga buti. Mourinho tunavomjua mpaka sasa namba 6 wake wengi anapenda wachafue. Mfano vidal au casmeiro wanaeza wakamfaa
Tuko mwaka 2017 wewe unazungumzia story za 2010,Umeona kiwango cha Busquet baada ya Xavi na Alonso kustaaafu timu ya Taifa ?
Mchezo wa mpira ni mchezo wa furaha,upendo, utani mwingi pamoja na tambo za hapa na pale za kishabiki hili kunogesha ushindani kwanzia ndani mpaka nje ya uwanja.
Ila sasa kuna mashabiki WUPUMBAVU, WASIOKUWA NA HAYA,WALIOJAZA VINYESI BADALA YA UBONGO KATIKA VICHWA VYAO, WALIOJAMPWA NA MAMA ZAO BADALA YA KUZALIWA, WALIOKUZWA NA WASIMBE NA HAWANA NA CHEMBE YA KISTAARABU KAMA WEWE HAPO unaejiita sergio5, ndio mnafanya mpira uonekane ni mchezo wa chuki na unashabikiwa na walevi.
Comment yangu inaweza kuwa ni ya kipuuzi sawa kwa kumfananisha Sergio na hamis tambwe lakini hizo ni kauli za kawaida katika ushabiki, lakini sasa kitendo cha wewe kunitusi tena ukiwa nje kabisa ya mada, seriously ni kitendo ambacho hakivumiliki kwangu, ngoja nikwambie naujua vizuri kuliko nyie mashabiki mbuzi msiojua Ku handle mjadala kistaarabu! Sina haja ya kukwambia ground za comment yangu KUNGURU wewe sababu haustahili.
Vita na mpira wapi na wapi timu ipi nzuri yenye ubora unayoijua ambayo hajakutana nayoMbona ukawa unazunguka kama msichana mkuu!! Si ungejibu tu!!
Kwa kifupi jemedari hapimwi kwa kupigana vita moja!! Ukiona umepigana vita moja ujue bado sana kuwa jemedari mkamilifu!!
Watu wamepigana ya pili ya dunia, vita ya vietnam...vita baridi...vita ya iraq na afghanistan alafu akamalizia syria!!
Japo wote ni wanajeshi ila huwezi mlinganisha na mtu aliyepigana vita ya kagera tu!!
Mtu wa vita moja atangoja sana kwa jemedari aliyepigana vita nyingi na akashinda zote!!
Wajinga wanapokutanaBado ni mchanga sana kwenye ushabiki huyu!!
Leo unaikataa timu yako pendwa cioMimi sio wa Madrid ila naona kama unatumia hasira sana kujibizana na wapenda soka wenzio. Ujue mdau anaweza kukujibu kwa utani tuu so pima kiaina na sio kujibu makavuu. Huwa hurushi ngumi kweli wakati wa games?????
Wajinga wanapokutana